Azam FC vs KCCA Live

Azam FC vs KCCA Live

Wanaozimia ni mikia wanaojifanya Yanga, nilishalieleza hili sihitaji kulirudia sana.

Hadi mbumbumbu azimie itakuwa kapata akili na uelewa. Wanazimia wanaojitambua, chizi azimie kwa lipi?
Mkuu, hata wapenda timu ya wananchi wakizimia poa tu. Inaonyesha feelings kwa timu yao!
 
tatizo hamchelewi kuzimia ovyo bora mcheze na hao hao wabovu wenzenu

Mkuu Makoye kishakujibu, wale huvaa jezi za Yanga na upande wa Yanga ila ni simba wale.
Ili tuonekane Yanga wengi wamezimia!!! Karibu Yanga brave one
 
Last edited by a moderator:
Hadi mbumbumbu azimie itakuwa kapata akili na uelewa. Wanazimia wanaojitambua, chizi azimie kwa lipi?
Mkuu, hata wapenda timu ya wananchi wakizimia poa tu. Inaonyesha feelings kwa timu yao!

CC. brave one, unasemaje kwa hoja hii?
 
Last edited by a moderator:
Wanaozimia ni mikia wanaojifanya Yanga, nilishalieleza hili sihitaji kulirudia sana.

Hadi mbumbumbu azimie itakuwa kapata akili na uelewa. Wanazimia wanaojitambua, chizi azimie kwa lipi?
Mkuu, hata wapenda timu ya wananchi wakizimia poa tu. Inaonyesha feelings kwa timu yao!
 
Gooooooool, coutinho tena ndani ya nyavu. yanga 3-0 polisi
 
Weraaaaaaaaaaaaaaaaa, msuvaaaaaaaaaa yanga 4-0 polisi
 
Back
Top Bottom