sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Hadi wanatia huruma!
Huruma lazma iwepo.. maana Goran kakaa na timu kwa siku 1 tu.. hebu imagine anakaa na timu wiki hata 2 tu.
Hadi wanatia huruma!
Mngekuwa na injini zenu mungefungwa au kutoa sare, afadhali leo wamecheza wabongo wengi wameonesha moyo wa kujituma, simba ya ma-father si simba ni matatizo tu!!!!Kwa siku moja Goran amefanya kazi kubwa.. I see a bright future in him.. Sijui zingekuwepo injini zetu toka uganda ingekuwaje?! Mungu bariki Simba Sc.
Mngekuwa na injini zenu mungefungwa au kutoa sare, afadhali leo wamecheza wabongo wengi wameonesha moyo wa kujituma, simba ya ma-father si simba ni matatizo tu!!!!
Mngekuwa na injini zenu mungefungwa au kutoa sare, afadhali leo wamecheza wabongo wengi wameonesha moyo wa kujituma, simba ya ma-father si simba ni matatizo tu!!!!
Wanaocheza chini ya kiwango sio ma-father bali ni wale wengine ambao hawapendi tabia ya wachezaji wenzao kupewa kipaumbele katika huduma kuliko wao.Injini zote zikiwa ndani, ndo uje na hii kauli. Kwa sasa inakua kama story za mitaani kua injini zetu toka uganda wanacheza chini ya kiwango.
Mngekuwa na injini zenu mungefungwa au kutoa sare, afadhali leo wamecheza wabongo wengi wameonesha moyo wa kujituma, simba ya ma-father si simba ni matatizo tu!!!!
Sijamaanisha wachezaji wenye umri mkubwa nimemaanisha wachezaji wanaolipwa fedha nyingi kuliko wengine, ma-father hapa namaanisha akina Okwi, Owino, Musheed, na Simon Sserunkuma.Tutake radhi tangu lini Simba ikawa na mafather. Kama ni hivyo basi Yanga ina VIBABU
Tutake radhi tangu lini Simba ikawa na mafather. Kama ni hivyo basi Yanga ina VIBABU
Sijamaanisha wachezaji wenye umri mkubwa nimemaanisha wachezaji wanaolipwa fedha nyingi kuliko wengine, ma-father hapa namaanisha akina Okwi, Owino, Musheed, na Simon Sserunkuma.
1. Mapunda - father
2. Baba Ubaya - father
3. Cholo - father
4. Kisiga - father
5. Okwi - father
6. Sserunkuma, D - father: just a few to mention.
Need I say more?
Ratiba ya mapinduzi cup leo Jumapili tar. 04/01/2015.Ratiba ya leo ikoje wakuu?
Ratiba ya mapinduzi cup leo Jumapili tar. 04/01/2015.
KCCA vs MTENDE saa 9:00 alasiri uwanja wa Amani, AZAM FC vs KMKM saa 11:00 jioni uwanja wa Amani, SHABA vs TAIFA JANG'OMBE saa 11:00 uwanja tofauti na Amani, YANGA vs POLISI ZANZIBAR saa 2:15 uwanja wa Amani. Mechi zote zitakuwa LIVE kupitia azamtv kwenye azam two...
Huruma lazma iwepo.. maana Goran kakaa na timu kwa siku 1 tu.. hebu imagine anakaa na timu wiki hata 2 tu.