brave one unasubiri nini? Hamia Yanga wewe na nyumba yako.
Ngoja tukapumzike, tukirudi...
Mkuu ukukosea,kule zenj watakufa kabisa,bora walete ujanja wajitoe mapema ili tusikutane nao
Yanga yanipa raha jaman
Mpira umemalizika dak 90, yanga 4-0 polisi....Magoli ya yanga yakitiwa wavuni na Andrey coutinho (goal 2), kpah sherman (goal 1) na Simon msuva (goal 1)...Hongera sana timu ya WANANCHI DAR YOUNG AFRICANS.
Goli nne
Moja la keeper
Moja la mabeki
Moja la viungo, na
Moja la washambuliaji. Fair Play!
Ni mpambano wa kulisaka kombe la mapinduzi kutoka visiwan zanzibar....twende wote moja kwa moja kutoka uwanja wa Aman....
no no no no no no, rudi rudi rudi, ngoja nimuite na Amavubi aje tupeane support.Uzi bila wachangiaji siyo uzi, na-sign out as well.