Azam FC vs KCCA Live

Azam FC vs KCCA Live

Timu zinaingia uwanjani kwa ajili ya kuanza mngwe ya pili, simba ipo mbele kwa goli moja lililowekwa kimiani na Ramadhan Singano......
 
Huyu mchezaji Amour Omary Janga anakosa kufunga goli yeye na kipa....
 
Kadi ya manjano kwa Mohammed Hussein Tshabalala, dk ya 58 simba 1-0 jku
 
Huyu Mrisho Mpoto wa simba hamna kitu kabisa yaan ni afadhali ya Jaja...
 
Singano 0ut, Ibrahim Twaha In
 
Mi namwona mzuri ila hawajamjulia jinsi ya kumpa mpira, ana nguvu na stamina pia
 
Ubao unasome

JKU 0 SIMBA 1

ila unaweza kuweka

SIMBA ianze na JKU Iwe mwisho ili tupate wachangaji wengi

namaanisha

SIMBA O JKU 1
 
Mpira umemalizika hapa uwanja wa Amani, Simba 1-0 JKU. Goli ya simba liliwekwa nyavuni na Ramadhan Singano. Tukutane tena kesho
 
Mi namwona mzuri ila hawajamjulia jinsi ya kumpa mpira, ana nguvu na stamina pia
kila shetani na mbuyu wake, Gor Mahia alikua na wapishi.....................
 
Back
Top Bottom