Azam FC vs FAR Rabat

azam wanaweza kuwashangaza watu kama walivyotushangaza hapo walipo
 
Sijachemsha wala nini, ni ukweli ulio uchi kabisa azam wasipofanya mabadiliko kipindi cha pili safari yao itaishia hatua hii.
Tatizo lenu mashabiki wa Yanga na Simba kila m-moja ni kocha. Wewe ni shabiki tu huna budi ushangilie maswala ya ufundi mwachie Hall
 
Kipindi cha pili azam wamebadilika kweli kweli,wanapeleka mashambulizi ya nguvu kwenye lango la as far,dk ni 20 kipindi cha pili.
 
Tatizo lenu mashabiki wa Yanga na Simba kila m-moja ni kocha. Wewe ni shabiki tu huna budi ushangilie maswala ya ufundi mwachie Hall
Haya kaka naona ushindi unanukia.
 
Mkuu Simba alitolewa raundi ya awali kabisa, kama alitaka kukwepa hilo litimu labda angeshika nafasi ya tatu kama Yanga au nafasi ya nne kama anayoshikilia kwenye msimamo wa ligi msimu huu.
 
Aliye kuambia kuwa Azam haina mashabiki wa kudumu kakuongopea. Wenye mitazamo ya mbali na sio wahafidhina tumesha vikimbia hivyo vitimu vyenu uchwara (Yanga na Simba) ila majibu ya maswali yako ngoja miaka mitano (5) ipite utajua kipi nazungumzia

Mkuu unapingana na ukweli? Siku Simba anakipiga na Azam nani aliwashangilia Azam? Kuna siku Yanga alikuwa Taifa na katimu ka mikoani na Azam alikuwa Chamazi na katimu ka mikoani pia, attendance ya Chamazi ilikuwa watu 9. Niseme nini zaidi? Hata wewe uliyeenda Azam ni Simba, Mnyama akirejea enzi zake utarudi tu. Baada ya 5yrs Azam haitakuwepo, believe me.
 

NJEMU = BHANGI, message sent and delivered.
 
Gaudence mwaikimba anaingia,bado dk 15 mpira kwisha.Azam 0-0 As far.
 

mkuu leo niko ontop of somebody women,post yako imenifanya nipiiiiiiiiiiiiz fasta ili nirudi jukwani fasta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…