WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Binafsi nimechukua hatua dhidi ya Simba na Yanga kwa kukataa kwenda Taifa kuangalia game zao.
eya mkwai mkombe, tuchili tukulolela maamuzi ya mahakama.Wati zyani mkombe? Utwizya ku Daresalamu kuuvwa amakesi ya Aishi na Yamusebo. Awe twatonta kwikala bilu mubunge!
hao wamoroco wanitwaje? hawa waliochafua simba wanaitwa LIBOLO,je hao wanaitwaje?!Nadhani umesahau hii, Yanga wanajidai wasahaulifu. Wamoroko waliipiga Yanga 6-0. Yanga ilitutia aibu sana watanzania mwaka ule. Yanga walifungwa jumla magoli 19 kwenye lile kundi
Mimi ni shabiki nii pendayo Azam. Masuala ya mapenzi yako kwa mkewangu sio kwenye soka.sasa mkuu huko uliko ni mpenzi au shabiki!!!!
mkuu anadai kuzishabikia yanga na simba ni kutafuta pressure!!ila kabla ya azam alikuwa shabiki wa yanga na hakupata pressure!
Anamaanisha "Yanga kainaama Simba kampiga tano"Haki ya mama sikia nikwambie kitu,YANGA haijawahi kukutana na kitu LIBOLO!,na wala haitaka ikatokea LIBOLO linawafuata mara nyingine wale wanaoipenda na kuitafuta.
Azam ni timu nzuri bahati mbaya haina washabiki wa kudumu! Nawashauri waache kurusha vijembe kwa Wazee wa Uturuki na Wachezea LIBOLO kwani hawa ndiyo wenye washabiki wao, si ajabu Azam wakichorongwa bao uwanja ukalipuka kwa kisingizio kuwa uzalendo umewashinda! Kwa kuwa Simba wala Yanga hawachezi tuwaunge mkono Azam wasonge mbele kwani wanaiwakilisha Tanzania, nao Azam waache vijembe, vinginevyo, uzalendo utatushinda!
Mkuu, ina maana huoni hapo palipoandikwa 6-0 ??hao wamoroco wanitwaje?
ha ha ha ha ha!!mapenzi kwa mkeo siyo!!kwa staili hiyo mkuu iko siku utatoka tena huko azam!!Mimi ni shabiki nii pendayo Azam. Masuala ya mapenzi yako kwa mkewangu sio kwenye soka.
hao wamoroco wanitwaje? hawa waliochafua simba wanaitwa LIBOLO,je hao wanaitwaje?!
Sijachemsha wala nini, ni ukweli ulio uchi kabisa azam wasipofanya mabadiliko kipindi cha pili safari yao itaishia hatua hii.Kumbe ndicho kilicho kuweko hapo, kwahilo umechemsha
tusisahau kukutana pale Simba kapakatwa Pub,kila kitu kitaishia pale
ila bora hii lakini sio aibu ya Liboro.Mkuu, ina maana huoni hapo palipoandikwa 6-0 ??
maFARA
Azam hawana plan B kama Barca vile, wanapoteza mno mipira na wanajipasiapasia tu bila sababu, walipaswa kuwa na mtu kama Ngassa kule mbele wa kuwakimbiza kimbiza. Kuna dalili za Ndetichia leo kulala mapema.
Kazi hiyo ilikua ya shekh Yahya bin Husein lakini kafa kaiacha.Azam ameshafika mwisho wa safari yake,kule Morocco asitegemee ushindi wowote,hakika atagongwa 3-0
waarabu wanamambo ya ajabu sana wakiwa kwao
Ilikua ni Raja kasablankaNadhani umesahau hii, Yanga wanajidai wasahaulifu. Wamoroko waliipiga Yanga 6-0. Yanga ilitutia aibu sana watanzania mwaka ule. Yanga walifungwa jumla magoli 19 kwenye lile kundi