ndetichia
Platinum Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,589
Nami naongeza....Ukiona bidhaa za azam usipate presha. Siku utakapokosea kupanda boti ya azam, jirushe baharini.
yaani umeniwahi daaa... 🚢
Nami naongeza....Ukiona bidhaa za azam usipate presha. Siku utakapokosea kupanda boti ya azam, jirushe baharini.
Nami naongeza....Ukiona bidhaa za azam usipate presha. Siku utakapokosea kupanda boti ya azam, jirushe baharini.
ha ha ha ha ha! you are more than a crazy donkey!Mkuu umepatia, uamuzi wa kunipuuza ni wako. Kwa hakika Simba siipendi lakini Azam naichukia mno mno. Hivi sasa nimeacha kutumia products zao zote maana tunawakuzia biashara na kuwapa nafasi ya kufanya kufuru. Nikiona maandazi ya Azam ni kama mavi ya punda, nikiona ice cream za Azam ni kama maji machafu yatokayo sehemu za siri, nikiona maji ya Azam ni kama mkojo wa choo cha baa n. k. mengine ongezeeni jamani.
Nami naongeza....Ukiona bidhaa za azam usipate presha. Siku utakapokosea kupanda boti ya azam, jirushe baharini.
ha ha ha ha ha! you are more than a crazy donkey!
ha ha ha ha ha! you are more than a crazy donkey!
Kulipa kodi imekuwa fitina Mkuu? Huyu jamaa anakwepa sana kodi, TRA wakifanya kazi yao barabara huyu atakuwa mlipa kodi mkubwa kuliko wote hapa TZ kwani ana biashara nyingi sana. Sasa cha ajabu mlipa kodi mkubwa wa Tanzania siyo yeye, je hapo unaelewa kitu gani kinaendelea?
Yanga ni chama kubwa lisilovurugwa na timu yoyote, hao azam wanalibip tu likipiga watalia, waulize Simba watakuambia.
anaomba leseni bila ya hiyo ndege kununuliwa na kukaguliwa ubora na vigezo vingine?? kiutaratibu lazima uwe na ndege tayari iliyokwishanunuliwa ili uweze kuomba kibali, unachotuambia wewe ni sawa sawa na mtu kunywa maji ndio ameze dawa, badala ya kunywa dawa ndio ameze maji!
Mkuu umepatia, uamuzi wa kunipuuza ni wako. Kwa hakika Simba siipendi lakini Azam naichukia mno mno. Hivi sasa nimeacha kutumia products zao zote maana tunawakuzia biashara na kuwapa nafasi ya kufanya kufuru. Nikiona maandazi ya Azam ni kama mavi ya punda, nikiona ice cream za Azam ni kama maji machafu yatokayo sehemu za siri, nikiona maji ya Azam ni kama mkojo wa choo cha baa n. k. mengine ongezeeni jamani.
maandazi mengine na chapati wanatumia unga wake,sasa sijui utakuwa unauliza kabla ya kununua