Azam FC Kununua Ndege kubwa!!!

Azam FC Kununua Ndege kubwa!!!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Posts
16,511
Reaction score
11,913
Mmiliki wa Azam FC said s.Bakhresa amewasilisha maombi ya kupata leseni kurusha ndege kwa ajili ya timu ya mpira wa miguu Azam Fc.Maombi hayo yameshapokelewa na TCAA
 
Hiyo safi sio wengine siasa tu zimetawala.!
 
Duuuuu, kweli mpira ni kuwekeza! Simba na yanga wasahau kombe kwa muda mrefu, serengeti nao waibebe mbeya city ili heshima iwepo kwenye soka letu.
Yaani hiyo ndege ndio kuwekeza kwenyewe au matokeo ya uwekezaji?
 
Kichwa cha habari ndege kubwa...kubwa kuliko caravan,kubwa kuliko gulf stream,kubwa kuliko 737 au???
 
Duuuuu, kweli mpira ni kuwekeza! Simba na yanga wasahau kombe kwa muda mrefu, serengeti nao waibebe mbeya city ili heshima iwepo kwenye soka letu.
nani kwa kwambia kuwa hiyo ndege au hata uwanja umetokana na mpira!sasa wewe unataka uwalinganisha yanga na simba kivipato na hao azam!
 
Safi sana, sikuwahi kujuta kuacha kuishangilia Yanga enzi nipo form 5.

Team ina miaka 75, haina uwanja, mauzo ya jezi hayajulikani, eti team ina wazee wa club, kazi kutuletea uchawi tu. wazee wa klabu wakikataa kitu hata kama cha maendeleo basi team haiendi mbele
 
Mmiliki wa Azam FC said s.Bakhresa amewasilisha maombi ya kupata leseni kurusha ndege kwa ajili ya timu ya mpira wa miguu Azam Fc.Maombi hayo yameshapokelewa na TCAA
yaani mpaka sunche na kapeto waombe poo...
 
Safi sana hayo ndiyo maendeleo yanayo onekana kwenye soka
 
Naona Simba na Yanga sinazidi kuachwa mbali. Wao wamebaki na blah blah
 
Yanga na Simba walishauriwa muda mrefu sana waendeshe klabu zao kwa mtindo wa kampuni hawataki. Vizee vomebaki kupiga porojo tu! She.nzy type kabisa! Sitakaa nishabikie timu ya Tz tena! Tulishaumizwa vya kutosha, si Yanga wala so Simba kote afadhali ya jana!! Sitaki tenaaaa!
 
Mmiliki wa Azam FC said s.Bakhresa amewasilisha maombi ya kupata leseni kurusha ndege kwa ajili ya timu ya mpira wa miguu Azam Fc.Maombi hayo yameshapokelewa na TCAA

TRA fanyeni kazi yenu huyu asiwe anakwepa kodi. Kwa kibano hicho ataacha kufanya kufuru hizi.
 
kwa vile pesa za kununua ndege ya klabu imetokana na mapato ya klabu ni sawa tu hata wanunue tireni.
 
Back
Top Bottom