Azam FC Kununua Ndege kubwa!!!

Azam FC Kununua Ndege kubwa!!!

Huyu mtu. Anauwezo mkubwa sana alitaka kuweka treni hapa tz naona kama amekataliwa sasa lipo malawi linapiga kazi
 
azam ina watu makini,wenye fikra endelevu. sio akina manji wanaingia kwenye mpira ili kuifunga simba. lakini akifungwa wanafukuza kocha. na bench lote ufundi. wafuate nyayo za S S BHAKRESA. AZAM JUU!!!!
 
Amemaliza kununua marefa na mechi za Simba ameamua kununua ndege.
 
Acha fitna we mnazi wa yanga. Inaonekana Azam fc imeshawavuruga sana. Shwain wakubwa.

Kulipa kodi imekuwa fitina Mkuu? Huyu jamaa anakwepa sana kodi, TRA wakifanya kazi yao barabara huyu atakuwa mlipa kodi mkubwa kuliko wote hapa TZ kwani ana biashara nyingi sana. Sasa cha ajabu mlipa kodi mkubwa wa Tanzania siyo yeye, je hapo unaelewa kitu gani kinaendelea?

Yanga ni chama kubwa lisilovurugwa na timu yoyote, hao azam wanalibip tu likipiga watalia, waulize Simba watakuambia.
 
hivi ni kweli inawezekana huyu jamaa anakwepa kodi au????

Wewe fuatilia tu uone ni nani mfanyabiashara mkubwa kama yeye lakini anayeongoza kwa kulipa kodi ni Dr. Kimei kupitia benki yake ya CRDB, hapo unapata ujumbe gani Mkuu?

Enzi za Mwalimu na Sokoine angekuwa amekamatwa kwa kuhujumu uchumi wa Taifa hili.
 
Mmiliki wa Azam FC said s.Bakhresa amewasilisha maombi ya kupata leseni kurusha ndege kwa ajili ya timu ya mpira wa miguu Azam Fc.Maombi hayo yameshapokelewa na TCAA
anaomba leseni bila ya hiyo ndege kununuliwa na kukaguliwa ubora na vigezo vingine?? kiutaratibu lazima uwe na ndege tayari iliyokwishanunuliwa ili uweze kuomba kibali, unachotuambia wewe ni sawa sawa na mtu kunywa maji ndio ameze dawa, badala ya kunywa dawa ndio ameze maji!
 
Umesoma maelezo yangu?anaomba leseni ya kurusha ndege
 
hapo chacha nchi inakodi ndege raia ananunua ndege.nchi inanunua ndege ya rais halafu inapaki kwa kushindwa kuiendesha,jeshi linanunua ndege mbovu za kivita na kuharibika kila zinaporushwa .ngoja tujionee
 
TRA fanyeni kazi yenu huyu asiwe anakwepa kodi. Kwa kibano hicho ataacha kufanya kufuru hizi.

ha ha ha ha! yusuf manji aliyenunua mechi ili watu waingie bure uwanjani alikaguliwa na TRA? watch out! utaugua pressure kwa wivu!!
 
Wewe fuatilia tu uone ni nani mfanyabiashara mkubwa kama yeye lakini anayeongoza kwa kulipa kodi ni Dr. Kimei kupitia benki yake ya CRDB, hapo unapata ujumbe gani Mkuu?

Enzi za Mwalimu na Sokoine angekuwa amekamatwa kwa kuhujumu uchumi wa Taifa hili.

wewe kweli umechoka akili! tangu lini CRDB ikawa mali ya dr kimei?
 
Kulipa kodi imekuwa fitina Mkuu? Huyu jamaa anakwepa sana kodi, TRA wakifanya kazi yao barabara huyu atakuwa mlipa kodi mkubwa kuliko wote hapa TZ kwani ana biashara nyingi sana. Sasa cha ajabu mlipa kodi mkubwa wa Tanzania siyo yeye, je hapo unaelewa kitu gani kinaendelea?

Yanga ni chama kubwa lisilovurugwa na timu yoyote, hao azam wanalibip tu likipiga watalia, waulize Simba watakuambia.

you just as ignorant and dumb as a donkey! you know nothing about tax issues! wewe unafanya kazi TRA, una ushahidi gani kuwa halipi kodi? unaweza kutuamabia yusuf manji analipa sh ngapi TRA kama kodi?
 
wivu wakina mama huo,kweli timu kubwa kwa kijifanyia majungu mwenyewe...!?
 
you just as ignorant and dumb as a donkey! you know nothing about tax issues! wewe unafanya kazi TRA, una ushahidi gani kuwa halipi kodi? unaweza kutuamabia yusuf manji analipa sh ngapi TRA kama kodi?

Lugha gongana Mkuu, nakupuuza tu!
 
huyu m2 ni tajiri sana. Huwaga anaikopesha serikali.
 
Back
Top Bottom