Azam decoder Punguzo la Mwezi wa Ramadhan

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
7,869
16,916
Nmesoma mahali kwenye Group moja kuwa kuna punguzo la mwezi wa Ramadhan decoder za azam.nkashukuru sana kwa sisi tunaofunga tutapata muda pia wa kuangalia vipind mbalmbal.

Kama ni kweli aisee tuzidi kuwaombea watu hawa. Na kama haijawa confirmed bas watufikirie kipindi suala la mfungo liwe jepes zaidi kwetu.

Wabillah tawfiq
 
Dah

Dah, mnahaki ya kufurahi maana hata channel zenu zimelalia huko. King'amuzi kikiisha channel zilizobaki za kiswahili ni za dini yenu ila za upande wa pili hakuna.
 
Tufafanulie vizuri, punguzo la kiasi gani? Ilikuwa tsh ngapi na sasa ni tsh ngapi?
 
Mkuu azam hana haki ta kufungulia chanal ya tv station ambayo hawana makubaliano ya kuiyonyesha free.
Ukiona hivyo tv station za kiislam zenyewe zimekubali kurushwa free bila malipo.
Ni vyema ukienda kanisani uwombe uwongozi wako wawaandikie wenye tv station za kikiristo waruhusu chanal zao zirushwe free vinginevyo utailamu azam bila sababu.
 
  • Sababu mojawapo ya kuwaangusha AZAM ni udini maana kifurushi kikiisha 99%ya chanel zinazobaki na Islam cjui kwann!!! Wanaboa bhana
 
Ni hoja Dhaifu,

Suala la Channel fulani kurushwa free kwenye Ving'amuzi ni Maamuzi ya wenye Channel husika na siyo Azam wala kampuni zingine.
Mimi natumia ZUKU, lkn kwenye Zuku hakuna Channel yoyote ya Dini ya Kiislamu inayoonyeshwa for free. Na mfano TV IMAAN ndo haipo kabisa kwenye list hata ya kulipia. Nilipowasiliana na IMAAN MEDIA walisema kwamba wao walishawaambia makampuni yote ya visimbusi kwamba Warushe TV IMAAN bure, lkn wanashangaa kuona ni Makampuni machache tu ndiyo wanafanya hivyo.
Kwahiyo unapoona zipo free siyo suala la Azam Media bali Channel husika.
 
Makampuni husda imezidi kwa upande wa pili
 
ufafanuzi kidogo kwa mnaobishana mambo ya dini.

azam tv haina chanell za dini zile chanell mnazoziona kwenye other tv hazina mahusiano yoyote na azam ni chanell tu za FTA ambazo zipo nyuzi 7 mashariki. hata leo hii ukiwa na dishi la kawaida ukaligeuzia upande ule utazipata.

kama una chanell yako unayoipenda unaweza ukawasiliana nao na wao pia wakaieka kwenye huo upande,
 
Tufafanulie vizuri, punguzo la kiasi gani? Ilikuwa tsh ngapi na sasa ni tsh ngapi?
Hili swali halijajibiwa mnakazania mambo yenu ya udini mnakera wote wether wewe ni mkristu au muisalm ukitaka kuzungumzia hayo nenda jukwaa lake
 
Mi sioni haja ya kuhusisha dini humu ndani na hata kama wakiamua kufanya hivyo mimi naamini kuna uhuru wa mtu kufanya atakavyo
 
Kweli ukiishiwa hoja unakuja na kihoja. Wagalatia wao kujiona wasomi anzishen tv zenu muweke kwaya mkatike viuno tuwaone, azam tv wao wameweka channel za dini na nyie lipizen weken wakatika viuno ngoma iwe droo
 
Back
Top Bottom