minzemanonu
Senior Member
- Nov 15, 2015
- 143
- 194
mbona trace muziki bado ipo mkuu.Nimeshangaa sana wameiondoa channel ya Trace Muziki
mbona trace muziki bado ipo mkuu.Nimeshangaa sana wameiondoa channel ya Trace Muziki
Haipo mkuu angalia sahizi..hadi zile mbc zote nazo hazipombona trace muziki bado ipo mkuu.
Wangekimbilia wapi sasa?!Hawa jamaa washukuru wanaonyesha ligi kuu labda na La liga kidogo ila wangekimbiwa tu
Hata zuku wanawashindaNaunga hoja..DStv is the best
Xtra Xtra Xtra Large.....hapanaWatuwekee na chanel moja ya xxx..
nawasilisha
Duh..Kuna watu wanatumia zuku?😆😆🤗Hata zuku wanawashinda
Watuwekee na chanel moja ya xxx..
nawasilisha
Hashim anatupa wali, wao watupe PILAUXtra Xtra Xtra Large.....hapana