Kuna umuhimu wa Jamii kwa kuweka interview kwa wanachama wake....maana hata hili pia nalo kaja kufungulia Uzi..... Masikini ana roho mbaya.
Hizo ni mkakati wa biashara
Kwani hiyo Azamu inamilikiwa na serikali, au mishahara ya wafanyakazi wake hulipwa na serikali, mpaka Uitake serikali iingilia kati.Hii media ina udini sana kuanzia ajira, njoo kwenye makampuni yanayomilikiwa na mmiliki ajira zao zinazingatia watu wa dini fulani. Serikali inatakiwa kulitupia macho
Kama unatazama Azamtv utajua kabisa kuna wakrsto wengi sana, hadi moja ya wakurugenz wake Peter Kahemele ni mla kitimoto mwenzetu, kwenye udini azam media hapana banaHii media ina udini sana kuanzia ajira, njoo kwenye makampuni yanayomilikiwa na mmiliki ajira zao zinazingatia watu wa dini fulani. Serikali inatakiwa kulitupia macho
Kina mpenjaKwani hiyo Azamu inamilikiwa na serikali, au mishahara ya wafanyakazi wake hulipwa na serikali, mpaka Uitake serikali iingilia kati.
Je ajira za azamu, kuna kipengele dini kuwa lazima uwe Muislamu.
Kama sifa za ajira za azamu ni Uislam, akina Tido Dustan Muhando, Dany Bandezu, Yvonna Kamuntu, Raimond Nyamwihula, na Charles Hilary, hao ni baadhi tu, ila wapo Wakristo wengi tu kwenye section zingine ndani ya Azamu, sema wewe ndiye mdini, ndiyo maana unawaza udini.
Akili za maliwatoni hizo
Azam tv ni wadini sana,hata Azam two Huwa nafuatilia sana tamthiliya zao za sa nne usiku zote zinaonesha kuwa watu wanaomwamini alah(waislamu)wakiingia kwenye vita na wasioamini(wakristo n.k)always waislamu wanashinda,udini Azam pale umeota mizizi lazima ukemewe,labda madhumuni ya kuazishwa ni kueneza dini husika basi makosa ni yetu tulionunua visimbuzi vyaoAkisoma habari kwa ufupi saa nane mchana leo, mtangazaji alijifanya kushindwa kutamka maneno "Parokia ya mwenye heri Maria Theresa..." Akaishia kusema parokia ya mwenye heri! Kama mnaona ukakasi kutamka hayo maneno si bora hiyo habari mungeipotezea kuliko kupotosha.
Kwa hiyo hapa umejipambanua Kwa uwerevu ?Mimi sio mjinga wa kujipambanua kwa Udini
Kuna wapumbavu wengi saanaNaunga hojaa....humu kuna vituko mnooo
Kuna Azam one Hua wanaonyesha tamthilia za kizungu kibaoAzam tv ni wadini sana,hata Azam two Huwa nafuatilia sana tamthiliya zao za sa nne usiku zote zinaonesha kuwa watu wanaomwamini alah(waislamu)wakiingia kwenye vita na wasioamini(wakristo n.k)always waislamu wanashinda,udini Azam pale umeota mizizi lazima ukemewe,labda madhumuni ya kuazishwa ni kueneza dini husika basi makosa ni yetu tulionunua visimbuzi vyao
Mkuu kama kisimbuzi unacho cha Azam naomba uniuzie kwa bei poa nikupe cha startimes na dstv niko serious mkuu.Azam tv ni wadini sana,hata Azam two Huwa nafuatilia sana tamthiliya zao za sa nne usiku zote zinaonesha kuwa watu wanaomwamini alah(waislamu)wakiingia kwenye vita na wasioamini(wakristo n.k)always waislamu wanashinda,udini Azam pale umeota mizizi lazima ukemewe,labda madhumuni ya kuazishwa ni kueneza dini husika basi makosa ni yetu tulionunua visimbuzi vyao
Ukweli unauma@Moderators funga hii thread
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu salama?Mkuu umeongea pointi
Salama mtani 🤣🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu salama?
Wewe ni mdiniWakiristo wengi na si wote!!..Sasa kwa nini unalazimisha msoma taarifa ya habari muislam aweze kutamka kigango Cha imakulata waamini wa kipaimara masadukayo!?