Wadau hii ni breaking news from reliable sources ya kuwa shirika jipya la ndege liko mbioni kuanzishwa hivi karibuni....Shirika hilo jipya ni Azam Airlines ambayo imeshaweka order ya Airbus tano kwa mujibu ya tovuti ya Airbus....route za ndege hizo zinatarajiwa kuwa ni Dar to Kilimnjaro, Dar to Mbeya, Dar to Zanzibar, Dar to Mwanza na Dar to Mtwara. Huu ujio utatusaidia sana wasafiri wa ndani ambao tumekua tukitegemea sana huduma za FastJet