AYUMI (Mbwa) Amepotea

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,975
9,566
Ayumi photo.JPG
Kwa Yeyote atakayefanikiwa kumwona apige namba zifuatazo:

+255 784 215 559
+255 767 215 559
+255 753 161 299
 
nenda kituo cha bia ukiwa unatoka njiro nyumba ya kwanzainatazamana na supr market iliyokuwa inaitwa mr price zamani.

sitaki zawadi ukishampata mbwa wako katoe hiyo zawadi kituo cha watoto yatima.
 
  • Thanks
Reactions: Paw
nenda kituo cha bia ukiwa unatoka njiro nyumba ya kwanzainatazamana na supr market iliyokuwa inaitwa mr price zamani.

sitaki zawadi ukishampata mbwa wako katoe hiyo zawadi kituo cha watoto yatima.

kaka asante kaka, let me try the best
 
nenda kituo cha bia ukiwa unatoka njiro nyumba ya kwanzainatazamana na supr market iliyokuwa inaitwa mr price zamani.

sitaki zawadi ukishampata mbwa wako katoe hiyo zawadi kituo cha watoto yatima.

Mkuu nimefika pale, karibu na kwa waziri Nyalandu, nimemkuta kama yule lakini siyo mwenyewe!
Thanks
 
Kama kuna Wachina jirani zako, kapekuwe mapipa utaambulia mifupa.

Ile bar walioshikwa wanauza nyama ya mbwa Moshi, vipi?
 
Mkuu ndiyo maana natoa taarifa kwa yeyote mwenye taarifa! Anavyopenda kucheza, it is more that a dog, nyumbani hakukaliki!

Wahehe wamemwacha kweli?

Nikipewa taarifa na kuthibitika kuwa wahehe hawajamwacha nayo itakuwa ni taarifa!

Now is found. Si ndo huyu hapa sasa wory not.

Nitashukuru Mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom