URASSA THE DON
Member
- Oct 12, 2010
- 70
- 7
Ayoub ambaye alikuwa anawasiliana na ulimboka mpaka mda wa tukio na aliyemsaliti ulimboka na huyu ayoub aliye tangulia south africa je ulimboka ataapona??
Ayoub ambaye alikuwa
anawasiliana na ulimboka mpaka mda wa tukio na aliyemsaliti ulimboka na
huyu ayoub aliye tangulia south africa je ulimboka ataapona??
Nakumbuka Samwel Doe alikuwa m'babe sana lakini mwisho wake alikufa kifo kibaya cha kuzalilishwa kama paka jizi.
baada ya kifo cha samwel doe tulishuhudia utulivu mkubwa sana angola na sasa Angola ni kinara wa maendeleo afrika.viongozi wa angola wamekuwa makini,heshima kati ya serikali na wenyenchi ni kubwa sana.
Pinda suspect namba one, eti liwalo na liwe. Pinda kilichotokea ndicho ulichomaanisha.

Ulimaanisha Jonas Savimbi?baada ya kifo cha samwel doe tulishuhudia utulivu mkubwa sana angola na sasa Angola ni kinara wa maendeleo afrika.viongozi wa angola wamekuwa makini,heshima kati ya serikali na wenyenchi ni kubwa sana.
Pinda suspect namba one, eti liwalo na liwe. Pinda kilichotokea ndicho ulichomaanisha.
baada ya kifo cha samwel doe tulishuhudia utulivu mkubwa sana angola na sasa Angola ni kinara wa maendeleo afrika.viongozi wa angola wamekuwa makini,heshima kati ya serikali na wenyenchi ni kubwa sana.
baada ya kifo cha samwel doe tulishuhudia utulivu mkubwa sana angola na sasa Angola ni kinara wa maendeleo afrika.viongozi wa angola wamekuwa makini,heshima kati ya serikali na wenyenchi ni kubwa sana.
hivi ni ayoub au abduel (a.k.a abedi) kwa mujibu wa de'levis?