Ayoub ametangulia South Africa; Je, Ulimboka atapona?

Tusipokuwa makini wananchi, intelijensia watam-assassinate mpendwa wetu Ulimboka
 
Nakumbuka Samwel Doe alikuwa m'babe sana lakini mwisho wake alikufa kifo kibaya cha kuzalilishwa kama paka jizi.
 
Pinda suspect namba one, eti liwalo na liwe. Pinda kilichotokea ndicho ulichomaanisha.
 
hivi ni ayoub au abduel (a.k.a abedi) kwa mujibu wa de'levis?
 
baada ya kifo cha samwel doe tulishuhudia utulivu mkubwa sana angola na sasa Angola ni kinara wa maendeleo afrika.viongozi wa angola wamekuwa makini,heshima kati ya serikali na wenyenchi ni kubwa sana.

Samuel Doe na Angola wapi na wapi mkuu??
Angola ni Savimbi na hakuwahi kushika madaraka ya juu zaidi ya yale aliogawana na Dos Santos kumpoza ambayo nayo aliyakataa.
 
baada ya kifo cha samwel doe tulishuhudia utulivu mkubwa sana angola na sasa Angola ni kinara wa maendeleo afrika.viongozi wa angola wamekuwa makini,heshima kati ya serikali na wenyenchi ni kubwa sana.

Mkuu Jackbauer , Sajin SAMWEL DOE alikuwa wa Liberia. na Angola ni mhasi(rebel) Jonas Savimbi.
 
baada ya kifo cha samwel doe tulishuhudia utulivu mkubwa sana angola na sasa Angola ni kinara wa maendeleo afrika.viongozi wa angola wamekuwa makini,heshima kati ya serikali na wenyenchi ni kubwa sana.

Yule ni Savimbi siyo Samuel Doe
 
baada ya kifo cha samwel doe tulishuhudia utulivu mkubwa sana angola na sasa Angola ni kinara wa maendeleo afrika.viongozi wa angola wamekuwa makini,heshima kati ya serikali na wenyenchi ni kubwa sana.

samuel doe alikuwa liberia, Angola ni Jonas Savimbi
 
Back
Top Bottom