\Huyu jamaa Ambwene Yessaya ana wimbo wake mpya unaoitwa 'Speak with your body'. Huo wimbo una vionjo vya wimbo wa 'Teamo' wa mwanadafada Rihanna. Tetesi ni kwamba mwanadafada amepata nyuzz za wimbo wake kufanyiwa ufisadi na nasikia amemaindi kinomanoma. Habari chini ya kapeti zinanyuti kuwa wanasheri wa Rihanna wanapanga kumfungulia kesi Ambwene kwa kuiba vipande hivyo vya wimbo. Sasa najiuliza huyu dogo atatoka kweli hapa?

Hakika katika nyimbo alizovuruga ay ni huu wimbo hausikiliziki ni kelele tu hohoooooooo, kweli wasanii wetu wana kazi kubwa, nilivyokuwa nategemea sicho nililichojionea aijulikani chorus ni ipi verse ni ipi poor lyrics poor raping hauwezi hata kidogo kuulinganisha wimbo huu na track ya dogo baghdad full ng'ang'ae, hii track ni bomba mara kumi ya hiyo speak with your body

AY ni msanii hodari na shupavu sana iyo nyimbo kaimba na lil romeo,mtoto wa master p,na nyimbo kairekodia studio za master p,no limit uko marekan.tungepata wasanii wengine japo kwa uchache wathubutu na jasiri km uyu jamaa hakika mzk wetu ungefika mbali sana..
hazina yako ya mziki ni ndogo,...dj quik aliimba clap your hands way back before AY hajui hata keyboard inafananaje..Prof jay aliimba "piga makofi" yearz after ikatoka "make it clap" ya buster nae angeshtaki? Kwanza kama ni kweli then Rihanna atampa AY umaarufu mkubwa sana while yeye atakuwa amejishusha...so it aint bad at all!!
inategemea alifanya sampling ya nyimbo zipi,..kama nyimbo zenyewe ni za msondo au kilwa jaz,unategemea alilipia shilingi ngapi?sijawahi kusikia sampling yoyote ya hits kama thong song au brenda's got a babykutumia vionjo vile sio kwamba ndio kuiba. mbona Ay alisha fanya sampling ya nyimbo kibao katika nyimbo zake na anazilipia.

Huyu jamaa Ambwene Yessaya ana wimbo wake mpya unaoitwa 'Speak with your body'. Huo wimbo una vionjo vya wimbo wa 'Teamo' wa mwanadafada Rihanna. Tetesi ni kwamba mwanadafada amepata nyuzz za wimbo wake kufanyiwa ufisadi na nasikia amemaindi kinomanoma. Habari chini ya kapeti zinanyuti kuwa wanasheri wa Rihanna wanapanga kumfungulia kesi Ambwene kwa kuiba vipande hivyo vya wimbo. Sasa najiuliza huyu dogo atatoka kweli hapa?

Huyu jamaa Ambwene Yessaya ana wimbo wake mpya unaoitwa 'Speak with your body'. Huo wimbo una vionjo vya wimbo wa 'Teamo' wa mwanadafada Rihanna. Tetesi ni kwamba mwanadafada amepata nyuzz za wimbo wake kufanyiwa ufisadi na nasikia amemaindi kinomanoma. Habari chini ya kapeti zinanyuti kuwa wanasheri wa Rihanna wanapanga kumfungulia kesi Ambwene kwa kuiba vipande hivyo vya wimbo. Sasa najiuliza huyu dogo atatoka kweli hapa?
naskia ww na rihanna unnauhusiano wa karibu sana!!!Ameimba kiswanglish cha kukatikakatika ila katikati akachomekea teeeammooo....teeeeammmmooo. Rihanna amekasirika sana na amesema sheria lazima ichukue mkong'oto wake wakati anahojiwa na BET.

hazina yako ya mziki ni ndogo,...dj quik aliimba clap your hands way back before AY hajui hata keyboard inafananaje..
Duhu. Ilibaki kidogo tu!Bora sheria ichukue mkondu wake.