AY kuwa rubani

kwasukwasu

Senior Member
Jun 15, 2016
120
134
Msanii AY, amesema kwasasa anakazania masomo yatakayomfanya kuwa Rubani. “Nataka kurusha ndege hicho tu ndio ninachokikazania, nataka nitimize ndoto zangu zikifanikiwa moyo wangu utaridhika mno,” amesema.
Source EATV
 
Ni muda mrefu alianza masomo ya urubani, kila la heri ktk kutimiza ndoto zako na Mungu akuwezeshe.
 
Uyu jamaa ashajua uzee fainali,sasa anajipanga ni vyema sana!ok precision,coastal travel,fast jet,auric air,zanair,dah marehemu ATCL rubani huyooo anakuja kazi kwenu Mpeni kazi kijana,Muziki una mwisho wake.
 
Ni vizuri kujipanga kwani hautoimba milele,lakini pia hata marubani hawawi marubani milele kwahiyo kiujumla hakuna kazi utakayofanya ktk miaka yako yote hadi uzeeni,ktk kila fani kila mtu anaandaa maisha baada ya fani yake ya ujanani.
 
matokeo ya ay ya o level yalikuwaje,,,na advance pia maannachojua mpaka uwe rubani lazima ujue physics na pure mathematics
 
VIZURI SANA AY,... UJUWE SIO BUSARA UNANUNUA PRIVATE JET YAKO KISHA UNAHANGAIKA KUSUBIRIA RUBANI AJE AKURUSHE FASTER NEWYORK UKAPIGE DEAL NA KINA JIGGA.
WAKATI WAO WANANUNUA MAGARI YA KIFAHARI MZEE WA COMMERCIAL UMENUNUA NDEGE..BIG UP.
Ay Amenunua lini private jet?
 
Anaweza kujifunza kurusha ndege just for fun, sio lazima kila kitu kiwe kwa ajiri ya kuomba ajira.
 
Ada ya urubani ni sh million 22 kwa miezi 3. Halafu inachukua miaka 5. Sasa huyo AY anazo hizo hela au anajishaua tu?
 
matokeo ya ay ya o level yalikuwaje,,,na advance pia maannachojua mpaka uwe rubani lazima ujue physics na pure mathematics
Urubani hata vilaza wa UDOM wanasomea.
Kama ilivyo ualimu tz, basi urubani ni kazi inayoitaji elimu ndogo kuliko unavyadhani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom