Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,772
- 25,419
Jibu qn zifuatazo
Ruge na Kusaga walienda US wakiwa watoto?
Je walipokuwa Us watajwa hapo juu walikuwa wakijihusisha na Music Industry?
Hv kwenda US ni bahati?
Walienda wakiwa machalii sana....
Ruge mambo safi,mtoto wa kishua..Kasoma USA college,sasa sijui unabisha nini?
Kusaga ni wa kishua,hilo unaelewa vizuri....
Sijui kwanini una-doubt credibility za hawa watu wawili walikwisha prove decades and decades kwamba wao ndio kings wa entertainment business in TZ...I wonder why?
On top of that,Lemutuz ana proof photo waliyokua wana-hustle USA in those years:
Sasa sijui unataka tumuamini nani hasa?
Wewe?