Awe Lowassa, Awe Magufuli Mshindi ni Tanzania

Awe Lowassa, Awe Magufuli Mshindi ni Tanzania

lakini wajue wananchi tunamhitaji lowassa.tunamtaka lowassa...elimu/elimu/elimu.
unamhtaj ww na malofa wenzyo, binafsi rais mweny maamz ya madili smtaki hata kumskia. Hapa kazi tu!
 
Hapa Lowassa kwanza, hatuwezi kusema tuna Tanzania ilihali ccm wanatawala....

Haki kwanza Aman itafika tu. Tukumbuke amani haiubiriwi, sehemu ambayo Haki ipo amani hutamalaki bila kuihubiri kwa nguvu.
mshenz nini, haki kaitafute kwa baba yako km unaona huna haki syo kutuletea fujo za ukawa hapa.
 
Huwa nawasikitia sana vijana. Wanadhani wanasiasa watawasaidia kubadili maisha yao. Mtafanywa ndom hadi mzeeke. Wote hao Magufuli, Lowasa, Anna M na wengineo HAWANA AJIRA na ndiyo wanaitafuta kwa gharama yoyote ikiwezekana hata kwa damu zenu. Tumieni akili mabadiliko hufanywa na mtu mwenyewe kwa kuvumbua fursa, kutafuta mbinu kisha kufanya kazi kwa bidii na nidhamu kubwa. Bila hivyo mtaendelea kufunguliwa kutoka kwenye pakti mkatumiwa kisha mtupwe jalalani mkija kustuka hamfai uvccm wala bavicha halafu mje muanze kulialia. Huu ni ujinga
 
Aisee umeongea ukweli mtupu, watu naona bado wanataka kuendelea kutumiwa kama ndom. Mimi siwasikikizi wana siasa ni waongo wa kutupwa,hapo wanatafuta madaraka na watao faidika ni watoto wao na jamaa zao,nyie endeleeni na ujinga wa kutukanana tu humu wakati ni masikini wa kutupwa
 
Kwaiy asipopita????? Asiyekubali kushindwa c mshindan kaa ukijua ivo kaka............
 
Back
Top Bottom