Natafuta matibabu
JF-Expert Member
- Aug 1, 2020
- 262
- 301
Ofisi zao zipo wapi? Physical Address.Ndio ufatilie ofisi za NACTE maana system yao mbovu, haiko automatic maana ikikamilika kila kitu unakuja message ya control number unalipia unatumiwa hyo AVN. So bila kwenda NACTE utajuta wasumbufu my dogo langu alienda pale dakika sifuri wakamu update next procedure nikamsaidia nyumbani
Mkuu bila AVN hutaweza kuchaguliwa chuoIvi naweza kuapply hata kama sijapata AVN? halafu baadae nikiipata ndio nije niiweke maana kesho ndio mwisho wa application halafu bado giza nene kupata AVN hadi sasa
Ziko maeneo ya Mwenge karibia na chuo Cha kodi inabidi uende aisee bila hvo utakosa chuoOfisi zao zipo wapi? Physical Address.
Sawa mkuu, ahsanteZiko maeneo ya Mwenge karibia na chuo Cha kodi inabidi uende aisee bila hvo utakosa chuo
Nisaidie kunielekeza jinsi ya kulipia
Ivi naweza kuapply hata kama sijapata AVN? halafu baadae nikiipata ndio nije niiweke maana kesho ndio mwisho wa application halafu bado giza nene kupata AVN hadi sasa
AVN INATUMIKA KWA MATUMIZI GANI WAKUU?????
Ndio ufatilie ofisi za NACTE maana system yao mbovu, haiko automatic maana ikikamilika kila kitu unakuja message ya control number unalipia unatumiwa hyo AVN. So bila kwenda NACTE utajuta wasumbufu my dogo langu alienda pale dakika sifuri wakamu update next procedure nikamsaidia nyumbani
inatumika kufanyia nini, au unaenda nayo chuo kuonyesha au unafanyia nini aswaa???????Inatumika wakati wa kuapply vyuo kwa watu waliotokea Diploma pindi wanapotaka kujiendeleza na Degree.
Umescan yenyewe original au kopi yake..?Nimeweka cheti cha Certificate, evidence ya matokeo ya Diploma niliyopatiwa na Chuo.
Hadi hapo kuna attachment gani bado zinahitajika?
Sasa kuna wengine wanaishi mbali na ofisi zao kuu hata za kanda.. So gharama yote hii nani ataweza.. Ni kuwapigia tu...Ndio ufatilie ofisi za NACTE maana system yao mbovu, haiko automatic maana ikikamilika kila kitu unakuja message ya control number unalipia unatumiwa hyo AVN. So bila kwenda NACTE utajuta wasumbufu my dogo langu alienda pale dakika sifuri wakamu update next procedure nikamsaidia nyumbani
Ukiwapigia hawapokei na hata Kama umejaza Mambo yote system yao inasumbuaSasa kuna wengine wanaishi mbali na ofisi zao kuu hata za kanda.. So gharama yote hii nani ataweza.. Ni kuwapigia tu...
Duuuh, kweli mkuu we ushawahi kujaza/kuomba..?Ukiwapigia hawapokei na hata Kama umejaza Mambo yote system yao inasumbua
Nilimuombea ndugu yangu na nikafata procedures zote had attachment Ila ikawa inasumbua ikabidi aende NACTE ndio Kuna number wakampa na ku update ndio akapata control number alivolipia ndio akapata hyo AVN. System yao mbovu na alipoenda kule kumbe NACTE ndio walikuwa hawaji update kwenye system yaoDuuuh, kweli mkuu we ushawahi kujaza/kuomba..?
Daaah, hawa watu hawako serious na maisha ya vijana kabisa.Nilimuombea ndugu yangu na nikafata procedures zote had attachment Ila ikawa inasumbua ikabidi aende NACTE ndio Kuna number wakampa na ku update ndio akapata control number alivolipia ndio akapata hyo AVN. System yao mbovu na alipoenda kule kumbe NACTE ndio walikuwa hawaji update kwenye system yao
Nimemaliza kujisajili wameandika ujumbe kuwa maombi yamepokelewa na yanafanyiwa kaziUkikamilisha kujisajiri watakupa control number ulipie
Cheti cha certificate nimescan cheti original, Evidence ya matokeo ya Diploma imetolewa na Chuo wameweka muhuri wao kuonesha kuwa ni matokeo halisiUmescan yenyewe original au kopi yake..?
Hv hapo kinachokuwa attached ni cheti cha form iv au diploma(transcript)..?Cheti cha certificate nimescan cheti original, Evidence ya matokeo ya Diploma imetolewa na Chuo wameweka muhuri wao kuonesha kuwa ni matokeo halisi