SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,944
- 2,030
Wakuu naomba tufahamishane awamu hii ya dokta john pombe magufuli ni swala gan serekal waloamua ukasema unaunga mkono au ni lipi ambalo ungepewa nafasi ya kuambiwa na rais ,wazir,makamu wa rais au wazir mkuu kabla ajatoa maagizo ungesema hili si sawa.Karibuni wakuu tutoe michango yetu