Gas ni yetu boss. Huenda hauko hapa nchini. Ni hivi kuna bomba la gas toka mtwara hadi hapo kinyerezi na uzalishaji wa mg 450 mpaka sasa unaendelea. Jikite hapo badala ya hizo post zako za kiingereza hapo juu bro.
Gas ya mchina na mzungu. Unainunua kutoka kwa market price. Ni sawa useme dhahabu ya kahama Barrick ni yenu.
Running cost ya gas plant ni very high ya maji running cost ni almost bure ukisha install. Pland ya gas ni ya short term kwa nchi kama TZ huwezi sustain kununua gas mda wote kutoka kwa mzungu anayeishimba huko chini ya bahari na uka generate umeme mkubwa. Kwanza bei ya gas yenyewe tu inazidi ya umeme sahivi halafu ununue u generate ma megawatt for long term huwezi.