masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,882
- 13,172
Mwanawane , umepata kigugumizi kisicho na tiba, kulikoni?Ffcfggtdgfgg5gf4g4ggfg
Mwanawane , umepata kigugumizi kisicho na tiba, kulikoni?Ffcfggtdgfgg5gf4g4ggfg
Hivi unajua bei ya gesi kwenye soko la dunia ni dola ngapi last month?Mimi naamini kabisa Magufuli angeweka shilingi 3t. Kwenye umeme wa gas tungepata hizo 2,115mg ambazo kawekeza 6.5t kwenye SG. Kuna watu wanaosema umeme wa maji ni rahisi na kuwa eti tumejenga kwa fedha zetu za ndani.
Almost half of all UK energy suppliers have now gone bust in the energy crisis - and more could go under
Four providers collapsed on Tuesday alone, taking the total number of energy providers that have gone under so far this year to 22
More: Almost half of all UK energy suppliers have now gone bust in the energy crisis
Tukizubaa haya makampuni ya gesi ndio yatakuwa “King Maker” miaka hijayo. Mkileta ubishi mtakaa gizani mpaka msalimu amri!!Gas prices will rise unless Britain acts to stop Russia 'holding Europe to ransom'
More: Gas prices will rise unless Britain acts to stop Russia 'holding Europe to ransom'
- G7 countries to hold talks on how to improve energy security
- A quarter of Europe's gas supply comes from Russian pipelines
- Energy Secretary Ed Davey warns prices in the UK are vulnerable
Ona Huyu na Ma gas yake ambayo Tunanunua kwa Wazungu kwa bei ghali wanatuuzia halafu tunauchakata ndipo Tanesco anauziwa...
Acha Hizo bana...
Kama unataka Kufaidika Na Gas tafuta namna nyingine waache watu wengi wafaidike na Umeme wa Nafuu wa Maji!
Hivi unajua bei ya gesi kwenye soko la dunia ni dola ngapi last month?
Kuna makampuni mengi ya gesi ya energy supply yamekufa Ulaya kutoka na bei ya gesi kuwa juu!
Bei ya gesi imekuwa ina fluctuate sana. Bei ikipanda gharama zinamuhusu mtumiaji!!
Halafu haya makampuni ya gasi yakishaua vyanzo vingine vya umeme. Kazi yao ni moja, fanya wanavyotaka. Ukileta ubishi wana turn off supply tap kwa kisingizio cha matengenezo!
Tukizubaa haya makampuni ya gesi ndio yatakuwa “King Maker” miaka hijayo. Mkileta ubishi mtakaa gizani mpaka msalimu amri!!
Sidhani kama ni sahihi tatizo letu watu mnaowapa mamlaka sio waadilifu ni hilo tu!...Mradi wa kukukomboa mzungu hakupi hela.
Ule mradi tegemezi atakupa hela fasta
Umeme siyo maji tu na ni kujidanganya kufikiri hivyo.Tulikuwa tunatumia umeme wa maji toka zamani, mbona bado umeme haukuwa bei rahisi? Mkaa ulikuwa bei rahisi kuliko umeme.
Ndege ni za kwetu na sio za mkopo, mbona nauli ni bei ghali kuliko ilivyokuwa fastjet? Amka unaingizwa mjini bro.
Safi mkuu , umelielezea vizuri hadi raha!Umeme siyo maji tu na ni kujidanganya kufikiri hivyo.
Umeme kunageneration, transmission na hatimaye retail.
Kwenye generation ndiyo tunaingelea sasa.
Infrastructure ya umeme wa maji ni kubwa lakini maintainance ni very low, wakati umeme kama wa gesi infraatructure ya priduction gharama si za juu sana lakini maintdinance ni VERY HIGH.
Tukija kwenye transmission, kuna maintainance ya lunes na ma trasformer mazito na madogo ma switches. Hapa maintainance ndito gharama isiyokwepukika.
Mwisho ni uuzaji wa umeme kwa viwango tofauti , na hapakuna gharama zake.
Hivyo kusema umeme wa maji ulitakiwa kuwa rahisi hivo ni only comparetive terms kwa long term analysis.
Umeme siyo maji tu na ni kujidanganya kufikiri hivyo.

Makamba ni mtu soft Sana tofauti na anavyochukuliwa.Lisipojengwa ndio kaburi lake!
Nguvu zimeelekezwa kwenye bandari ya Msoga gang,bwawa si kipaumbele,Labda kwa vile kivuri Cha Magufuli bado kinawatesa kuutosa mradi wa bwawa.
Bila kubisha hiyo hoja yako kwani ina ushawishi wa kimantiki. Tulikuwa na umeme wa hydro, tulihamishwa huko kwakuwa tatizo lilikuwa mabadiliko ya tabia nchi. Na waliosema hivyo hadi kufikia 2015, ndio hao hao walianza kusifia umeme wa maji kuwa ni wa gharama nafuu! Wakati tunatumia umeme wa maji, bado nchi yetu haikuwa nchi yenye umeme nafuu kama nchi nyingine za Afrika mashariki. Nilitaka iwe hivi, wote tunajua gharama za nishati. Anayetumia petroli anajua tofauti ya diseli nk. Anayetumia gas anajua tofauti ya gharama za mkaa, umeme nk. Sasa nilichotaka nijue tofauti ya hawa wanaotumia umeme wa gas, na maji wapi kuna nafuu, ama ungeweka mfano kuwa wakati wa umeme wa hydro mkaa ulikuwa juu kuliko umeme, lakini tulipoanza kutumia gas mkaa ukawa chino.
Ukinitajia hizo terminologies za umeme, sijui distribution, transmission, infrastructure nk, kwangu naona ni mbwembwe tu zisizo na maana yoyote. Nafananisha na hili debe la ndege zetu, lakini gharama ni juu kuliko fastjet jet. Usishangae hizi porojo zote lakini huo umeme wa maji ukianza bei zikawa hizihiz za juu, na ukiuliza zikianza story hizi hiI za maneno ya kiingereza sijui factor, mara tarrifs yaani ni vurugu tupu.
Mkuu kwa kifupi umeme wa gesi ni ghali kuliko wa maji….habari zingine hizo ni siasa..maana wapanga bei za umeme sio maengineer…
Tuzidi kupambana kwa nguvu zote bwawa likamilike ndio maana JPM alipambana lianze mapema iwezekanavyo…vita ni kubwa maadui ni wengi ndani na nje…wabaya zaidi ni wa ndani…unaeza ukawa mmoja wa adui wa ndani bila kujijua…
Ni kweli kabisa usemacho, je wakati tunatumia umeme wa maji gharama ilikuwa nafuu? Mimi sio engineer nitaamini vipi hiki usemacho? Au niamini tu ili nipone?
Umeme siyo maji tu na ni kujidanganya kufikiri hivyo.
Umeme kunageneration, transmission na hatimaye retail.
Kwenye generation ndiyo tunaingelea sasa.
Infrastructure ya umeme wa maji ni kubwa lakini maintainance ni very low, wakati umeme kama wa gesi infraatructure ya priduction gharama si za juu sana lakini maintdinance ni VERY HIGH.
Tukija kwenye transmission, kuna maintainance ya lunes na ma trasformer mazito na madogo ma switches. Hapa maintainance ndito gharama isiyokwepukika.
Mwisho ni uuzaji wa umeme kwa viwango tofauti , na hapakuna gharama zake.
Hivyo kusema umeme wa maji ulitakiwa kuwa rahisi hivo ni only comparetive terms kwa long term analysis.
Mkuu umejibiwa vizuri na Maso.
Mbona suala liko clear sasa.
Mkuu imebidi nirudi nyuma kusima posti yako no 52.Bila kubisha hiyo hoja yako kwani ina ushawishi wa kimantiki. Tulikuwa na umeme wa hydro, tulihamishwa huko kwakuwa tatizo lilikuwa mabadiliko ya tabia nchi. Na waliosema hivyo hadi kufikia 2015, ndio hao hao walianza kusifia umeme wa maji kuwa ni wa gharama nafuu! Wakati tunatumia umeme wa maji, bado nchi yetu haikuwa nchi yenye umeme nafuu kama nchi nyingine za Afrika mashariki. Nilitaka iwe hivi, wote tunajua gharama za nishati. Anayetumia petroli anajua tofauti ya diseli nk. Anayetumia gas anajua tofauti ya gharama za mkaa, umeme nk. Sasa nilichotaka nijue tofauti ya hawa wanaotumia umeme wa gas, na maji wapi kuna nafuu, ama ungeweka mfano kuwa wakati wa umeme wa hydro mkaa ulikuwa juu kuliko umeme, lakini tulipoanza kutumia gas mkaa ukawa chino.
Ukinitajia hizo terminologies za umeme, sijui distribution, transmission, infrastructure nk, kwangu naona ni mbwembwe tu zisizo na maana yoyote. Nafananisha na hili debe la ndege zetu, lakini gharama ni juu kuliko fastjet jet. Usishangae hizi porojo zote lakini huo umeme wa maji ukianza bei zikawa hizihiz za juu, na ukiuliza zikianza story hizi hiI za maneno ya kiingereza sijui factor, mara tarrifs yaani ni vurugu tupu.
Wahujumu wa nchi hii tutawajua vyema kutokana na yatakayoendelea kupitia kwenye miradi hii. Hawa ni 'wapigaji', wanachoweka mbele ni maslahi ya upigaji wao.Kwanza nianze kwa kusema mimi si mpenzi mkubwa wa Rais wetu aliyepita, JPM.
Hata hivyo, pamoja na figisu nyingi za JPM katika mambo mbali mbali, mengine ambayo yalikuwa miradi ya upendeleo ulio wazi kimaeneo, katika mradi wa bwawa la umeme Stieglers alikuwa spot on.
Mradi wa ujenzi wa bwawa la kuweza kufua umeme la Nyerere Hydropower(Stieglers Gorge), ni kati ya miradi ya kimkakati yenye matokeo yanayoweza kuleta mapinduzi ya uchumi kwa miaka mingi ijayo.
Katika hili, nampongeza JPM kama ambavyo nimempongeza mara kadhaa huko nyuma.
Maneno maneno tunayosikia toka kwa Waziri wa sasa wa Nishati, Januari Makamba, yanatutia wasiwasi juu ya azma kukamilisha ujenzi wa bwawa hilo kwa wakati.
Tunajua naye JPM aliupa kisogo mradi wa uendelezaji wa uchimbaji wa gesi kwa matumizi ya uzalishaji umeme.
Lakini Waziri Makamba awe careful katika kutekeleza miradi hii ili yote yakamilike kwa manufaa ya nchi, Tanzania.
Haya maneno maneo mara oooh, maji hayajazwi kwenye bwawa leo wala kesho, mara mradi uko nyuma, …………….mara mkandarasi hawezi kazi, hayo wananchi hatupendi kuyasikia. Tunachotaka kusikia ni lini mradi unakamilika, na tupate umeme wa bei chee.
Tunajua figisu kati ya JPM na baba yake January, Yusufu Makamba, lakini ni vyema tukayaweka hayo nyuma yetu na tugange yajayo, afterall JPM sasa hayupo.
Tunataka mradi wa JNHPP (Julius Nyerere Hydropower Project) ukamilike kwa wakati.
(NB: Tunasikia kutoka kwa ka nzi, kuwa kuna wakubwa wamejipanga kuingiza figisu kwa makusudi mradi huu)
Mtalijaza kwa mate? Ukame ndio huo na hauishi kesho.Kwanza nianze kwa kusema mimi si mpenzi mkubwa wa Rais wetu aliyepita, JPM.

Mkuu,Gas ni yetu boss. Huenda hauko hapa nchini. Ni hivi kuna bomba la gas toka mtwara hadi hapo kinyerezi na uzalishaji wa mg 450 mpaka sasa unaendelea. Jikite hapo badala ya hizo post zako za kiingereza hapo juu bro.
Prices of natural gas are skyrocketing: at the Dutch Title Transfer Facility, Europe's leading benchmark, prices have risen from €16 megawatt per hour in early January to €88 by late October, a hike of more than 450% in less than one year. This, in turn, has sent electricity prices skyrocketing.
More: Why Europe's energy prices are soaring and could get much worse
Hivi huu ukame unaokuja si maji yanaweza kukauka?