GE2025 Awadh Said: Jeshi la Polisi simamieni ipasavyo Sheria ili kuhakikisha zoezi la Uchaguzi Mkuu linafanyika kwa amani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
Jeshi la Polisi limesisitizwa kusimamia ipasavyo Sheria ili kuhakikisha zoezi la Uchaguzi Mkuu linafanyika kwa amani, usalama na kuaminika katika jamii kwani wao ni wadau wakubwa katika kufanikisha zoezi hilo.

Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Mhe.Awadh A. Said, aliyasema hayo wakati akifungua mafunzo ya siku moja kwa Maafisa wa Jeshi la Polisi wa Wilaya zote za Unguja katika ukumbi wa Jaji Mstaafu Hamid Mahmoud Hamid uliopo Makao Makuu ya ZEC Maisara, Wilaya ya Mjini Unguja.

Alisema Uchaguzi ni mchakato wa kitaifa unaogusa hisia na matarajio ya wananchi na mustakabali mzima wa nchi hivyo lina jukumu la kuhakikisha mazingira ya usalama yanaimarika nchi nzima.

Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako

wewe jamaa nakusubiri kwa hamu sana
 
Jeshi la Polisi limesisitizwa kusimamia ipasavyo Sheria ili kuhakikisha zoezi la Uchaguzi Mkuu linafanyika kwa amani, usalama na kuaminika katika jamii kwani wao ni wadau wakubwa katika kufanikisha zoezi hilo.

Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Mhe.Awadh A. Said, aliyasema hayo wakati akifungua mafunzo ya siku moja kwa Maafisa wa Jeshi la Polisi wa Wilaya zote za Unguja katika ukumbi wa Jaji Mstaafu Hamid Mahmoud Hamid uliopo Makao Makuu ya ZEC Maisara, Wilaya ya Mjini Unguja.

Alisema Uchaguzi ni mchakato wa kitaifa unaogusa hisia na matarajio ya wananchi na mustakabali mzima wa nchi hivyo lina jukumu la kuhakikisha mazingira ya usalama yanaimarika nchi nzima.

View attachment 3492478

Neno haki wanaliogopa kuliko ukoma!
 
Back
Top Bottom