mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 3,616
- 7,712
Hakuna kitu chenye addition zaid ya tamaa ya kupata kikubwa, unawaza nikiweka laki ikienda round 10 milion end the day unaliwa unaweka tel elfu 50 hapo unakiacha ikifika laki tatu unatoa unajipa moyo now mwamba ngoja niweke yote nipate laki sita odd 2 mara fyuu kesho unaenda piga kaz ukipata hela mchezo ni uleule, nilishawah kula milion 10 yote ikaishia humo humo so nitamaa ya kupata zaid