hujakutana na addiction mbaya weee😂Sidhani kama Kuna addiction mbaya kama hii tangu nimezifahamu addiction.
KUbaya zaidi kumtambua huyu mtu ni ngumu.
Inamaliza watu mtaani
Addiction sijawahi kuikubali hii logic, biashara kama haikupi faida na huwezi kuacha basi mtu huyo ana matatizo binafsiSidhani kama Kuna addiction mbaya kama hii tangu nimezifahamu addiction.
KUbaya zaidi kumtambua huyu mtu ni ngumu.
Inamaliza watu mtaani
Common sense is not common kwakoInamaliza watu mtaani ??
inawapeleka wapi braza?
Ni rahisi hivyo sio?Addiction sijawahi kuikubali hii logic, biashara kama haikupi faida na huwezi kuacha basi mtu huyo ana matatizo binafsi
Addiction mbaya ni ipi?hujakutana na addiction mbaya weee😂
Na kufa kabisa wanakufaKuna watu na taaluma zao
Wanacheza na wanapigwa
Haswa,hadi kufilisiwa 😄
Ova
Kuna jamaa yangu mdg wake ni dokta,walikuja Gundua mambo yk kuyumba ni kuchez huo mchezo aliuza gari,vitu vya ndani nkNa kufa kabisa wanakufa
DahKuna jamaa yangu mdg wake ni dokta,walikuja Gundua mambo yk kuyumba ni kuchez huo mchezo aliuza gari,vitu vya ndani nk
Alafu afya yk ikaanza kupwaya
Ndiyo wakaniambia kuna mchezo huo unaitwa kindege ni hatari
Ova
oya nipo mbugani, bado upo kwa wadachiKuna watu na taaluma zao
Wanacheza na wanapigwa
Haswa,hadi kufilisiwa 😄
Ova
Ni kitu gan icho
Indege 😅Kuna jamaa yangu mdg wake ni dokta,walikuja Gundua mambo yk kuyumba ni kuchez huo mchezo aliuza gari,vitu vya ndani nk
Alafu afya yk ikaanza kupwaya
Ndiyo wakaniambia kuna mchezo huo unaitwa kindege ni hatari
Ova
Nitafutie mdachi niongeze mke 😅Bado mkuu
Ova