Thats why nimeweka my own image!
Una uhakika na hao wanaoweka za hivyo ni akina dada? wanaweza kuwa ni wanaume pia.
......aiseeeeee huyo aliyoweka avatar inayoonyesha wazi sehemu za maungo ya siri ana lake jambo.
shost si kwamba avatar yangu inafanya matusi unajua kazi za melini bila kupuliza kidogo kazi haiendi.mtoa mada mwenyewe avatar yake inafanya matusi,toa boriti kwenye jicho lako.......
We mbona avatar yako inakata kiuno... ndo ulivyo au we ni SAILOR?
shost si kwamba avatar yangu inafanya matusi unajua kazi za melini bila kupuliza kidogo kazi haiendi.
Same case to me my dada
Unatumia mwili mzima kupuliza Quinine???
.......................................................
Michelle nikipuliza mwili mzima huwa unamsisimko wa aina yake na kazi napiga 24/7, ile avatar yako ya zamani ilikuwa inanimaliza kwa lile tabasamu.
Vivian avatar yako imenivutia hasa sizani nikisema I love you itakuwa kosa
Mualiko jamani wenye Avatar zenye mvuto Pretar Lina Rosa Vivian Mishelle darlinton Dorin nawakaribishakwenye pati karibun Swaziland
Leo ni leo :coffee:
Kazi zipo ila nawasiwasi kama utaziweza kazi za melini hakuna kulala, kumbuka injini ya meli huwa haizimwi.Hiyo kazi naitamani....ambayo ukiifanya una sisimka kwa aina yake....24/7 masuala mengine vipi???ile avatar niliitoa ati kuuza sura na yale meno......ila kwa kuwa ilikuwa inakumaliza nimekuwekea nyingine uwe unaiangalia pale unapopata dakika chache za mapumziko kwenye hiyo 24/7 kazi yako......ningependa kuifanya,wakitangaza kazi naomba sana unijulishe........
Kazi zipo ila nawasiwasi kama utaziweza kazi za melini hakuna kulala, kumbuka injni ya meli huwa haizimwi.