Avatar yako ina maana gani?

Avatar yako ina maana gani?

Futota

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2010
Posts
521
Reaction score
88
Zipo za kila aina, nyingine sura bayana ya mhusika nk, wewe yako chanzo chake kipi?
(hope this was never discussed before), la kumradhi!
 
Nahisi nafanana na mhusika wa avatar yangu (just a joke)
 
Imeshadiskasiwa several times hii!
Search avatars!
 
mi mhaya bana,
matoke ndo yamenikuza.........period!
 
mm ya kwangu inanikumbusha kwamba an apple a day keeps the doctor away kwani eva aliona umuhimu wa kula tunda hadi akamshawishi na mumewe adam naye ale.
 
.... Twende nzetu tuishinde nguvu ya uvutano ... "off gravity" .... Hukooo ... hakuna shida, hakuna majonzi, hakuna taabu..Kuna UPENDO!!!
 
Back
Top Bottom