Mmh mmh wapi apo...!!! Niambie kisirisiri
Sisemi
Mke mwenza
abee wiki hii zamu yako.ila.nakuona huna mda naye mimi nasubiria wiki ijayo mshahara utoke
Usijali mshahara tu mi hata sina tatizo nao....nagombana na wale wanaotaka kumchukua YEYE
Mwenzangu....sijui hata imetokea wapi hiyo
gahaha leo umezidisha kipimo