Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
Anantafuta ubaya huyo Yani Yani mimi kusifia avata yako anasema anantoboa macho
yaani Lady doctor haya mambo!!!!!!
hahaa kweli lakin UNDENIABLE kipindi nimepewa ban
alinianzishaga thread ya kunitetea that one is unforgetable!!!!
best kuwa makini na macho yako, usije ukawa kipofu
japo zongo sijui maanake vema, ila nahisi hata mimi napiga zongo....!?
hahahaaa naona mnataka kuzongoana......! wapi figganigga na Kaizer lile zoezi lenu na Heaven on earth limeishia wapi?
wenye hili nahitaji jicho la 3 kwakweli
wanaogopa hizo "Zongo" sidhani kama they can stand it
shost kumbe ulikuwa una mme hata kuniambia? Mpaka nikajitoa muhanga kumpigia debe kaka yangu figganigga akupate angalau tuunde undugu...!
Gere...?^^
Halafu wote hawa hawakukupigia kura ya Miss avatar,,halafu leo wanajifanya wanakupendaaaa!
Aa Heaven on earth
^^
huyo mme kajihalalisha mwenyewe,mie still single and space is available!!!!!
kwahiyo figganigga anaweza kutuumganisha tu!!!!!
basi husimkubalie mtu yeyote mpaka figganigga aje
huyo mme kajihalalisha mwenyewe,mie still single and space is available!!!!!
kwahiyo figganigga anaweza kutuumganisha tu!!!!!
mnaelekea wapi mbona siwaelewi!!!!!!!!!!
Copy: figganigga, natangaza kuachia ngazi rasmi nimefaidi inanitosha sasa! njooni wengine nanyi mfaidi, kizuri kula na memba wenzio ila sio mshana jr!
Copy: figganigga, natangaza kuachia ngazi rasmi nimefaidi inanitosha sasa! njooni wengine nanyi mfaidi, kizuri kula na memba wenzio ila sio mshana jr!
Nadeclear interest waziwazi Heaven on Earth am all yours nimekufa nimeoza juu yako mumie!! Niko tayari kupokea mwaliko wako hata leo hii