Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
mmmmmh!!!!!
mshana jr naomba umjibu tu maana na mie ningeuliza hilo hilo swali tuKhe! Una maswali mengi kwani wee ni polisi?
watu8 kwenye post yoote ulipovutiwa napo ni hapo kwenye red tu!!!!!!Tafwazali hapo kwenye RED nahitaji notsi kidogo...
nini tena?
Jamani kisim changu cha mchina kimefanikiwa kufungua avatar za warembo wa Jf, ila avatar ya Heaven on Earth yataka kuntoa roho wallah!!! Natamani kumtia machoni
unataka kiss!!!!!!!!
Kipipi usicheke mwenzio navaa gwanda kwa lazima ili nipate jibu hivyooo!!!!
hahaaa uwi ndo nimekuja sa hivi
Nimekoma.....!
Heti mpwa kwani havata yangu hikoje? Hujue mimi sijaihona
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
mabwaku..
Waoooooo asavali umekuja Kidogo ning'olewe meno bila ganzi kisa tu nimekufyagilia, hata wengine wamekomalia kuwa wana hati milki kwako tena kwa asilimia mia na moja, madame kanitishia hata kunishtaki, Afadhali umekuja nayasema yote yote kabisa
mathematics ndo ununue ki-sim cha mchina!!mimi ki-simu changu cha mu-hindi avatar hazionekani,
unataka kiss!!!!!!!!
Aisee, roho na ikutoke kabisa! ........kumtia machoni, halafu???? wa ntu huyo, ..................ni sumu! umesahau????? Mods futa huu uzi!
Nimemsoma sana, wanaanzaga hivi hivi! Himidini hujambo lakini wewe!
kabanga mie sio mchoyo,ukitaka nakupatia tuhivi unafikiri ukinipa nitakataa? ah wapi, nipe....
Wee acha tu....!