No kofia ya man U kichwani mwa nyerere inauhusiano gani? usiniambie nikwasababu wewe ni mpenzi wa Man U na wala usithubutu kusema Man U inakubalika kama Nyerere itakuwa ni kosa. Njoo kikamilifujina nilichugua kwa kuwa ninashikilia nafasi kubwa sana ktk jamhuri ya muuungano kama obama wa muungano wa majimbo ya amareka
avatar ya nyerere ni kwa kuwa nakubalika kwa watanzania kama nyerere
Mimi najiita Mromboo kwasababu nimetokea Rombo na mimi ni Mrombo. Hiyo picha ya mgomba ni Kibungara achacho kinatengeneza mbege safi sana. kama una ugeni kama wa Ukwe lazima utengeneze mbege ya Kibungara peke yake ambayo ukiinywa hata bia unaacha unaendelea na mbege ya kibungara. kiujula jina na avata yangu inaonyesha uhalisia wangu. unasemaje mzee sirluta
Mkuu mimi niliiga tu nikajua ni fasheni kumbe Mungu akikasirika ina madhara eeh?
sorry kwa kutokamilisha maelezo zamani nilikuwa na ndoto za kuchezea man united enzi za kina boby charlton CBE mshindi wa pekee wa baloon O'dor kutoka england alikuwa anapenda sana kuvaa bosholi(kofia kama hii)No kofia ya man U kichwani mwa nyerere inauhusiano gani? usiniambie nikwasababu wewe ni mpenzi wa Man U na wala usithubutu kusema Man U inakubalika kama Nyerere itakuwa ni kosa. Njoo kikamilifu
Najiita CleverKING sababu naamini Mungu amenipendelea na kunipa akili za kutatua matatizo na kutoa maoni ya ku solve problems,namshukuru sana Mungu,sijaamua bado kuweka avatar
Thanks.
Nimekuwa nikiangalia na kushangaa kwa muda mrefu, avatar na majina tunayoyachagua yanatokana na nini hasa? unakuta mtu kaweka avatar ya jicho moja au kichwa nazi, mara avatar ina pengo, huwa najiuliza hivi leo Mungu anasema kuanzia leo uwe kama avatar yako sijui utafanya nini, watapona walioweka avatar za warembo, sijui itakuwaje aliyeweka avatar ya kike na yeye ni mwanaume. Hebu tufunguke ilikuwaje ukachagua avatar na jina hilo. Binafsi nilichagua jina la JEKI likiwa na maana nakuja katika JF kuwapiga jeki wasiojiweza kama vile jeki inavyomsaidia mtu aliyeharibikiwa na gari lake, avatar nayo ikawa jeki yenyewe. WEWE JE????
sorry kwa kutokamilisha maelezo zamani nilikuwa na ndoto za kuchezea man united enzi za kina boby charlton CBE mshindi wa pekee wa baloon O'dor kutoka england alikuwa anapenda sana kuvaa bosholi(kofia kama hii)
kwa hiyo naienzi ndoto yangu japo haijafanikiwa
nimekuwa nikiangalia na kushangaa kwa muda mrefu, avatar na majina tunayoyachagua yanatokana na nini hasa? Unakuta mtu kaweka avatar ya jicho moja au kichwa nazi, mara avatar ina pengo, huwa najiuliza hivi leo mungu anasema kuanzia leo uwe kama avatar yako sijui utafanya nini, watapona walioweka avatar za warembo, sijui itakuwaje aliyeweka avatar ya kike na yeye ni mwanaume. Hebu tufunguke ilikuwaje ukachagua avatar na jina hilo. Binafsi nilichagua jina la jeki likiwa na maana nakuja katika jf kuwapiga jeki wasiojiweza kama vile jeki inavyomsaidia mtu aliyeharibikiwa na gari lake, avatar nayo ikawa jeki yenyewe. wewe je????
Nampenda sana huyu dada kwenye avatar yangu, kwa kudhihirisha upendo wangu kwake kuna kitu nilifanya kumuenzi but sitapenda kuweka hadharani. "She is my role model" ID inanielezea jinsi nilivyo!