Bishanga mimi nipo Via mobile kwahiyo siwezi. . .Lizzy bana,we hujui mi ni maimuna wa kompyuta? (nilisoma enzi za 'slide rule),embu basi fanya maujuzi uikopi na kuipesti hapa fasta(nakuaminia dear!)
Bishanga mimi nipo Via mobile kwahiyo siwezi. . .
Ngoja Konnie mwenyewe aje labda atatuwekea.
Hapana hiyo avater ameiweka kwa malengo yake binafsi lakini sio picha yake halisi
du!kwa kidhungu kumbe Kongosho anaitwa 'Konnie'?
Haya ngoja tumsubiri.
Hujaenda chuo bado mbona unalandalanda humu
Bishanga why??unanrushia njiwa wangu ujue!!
Konnie njiwa 'wako' au njiwa 'WENU' ???