Avatar mbali mbali na maana zake

Avatar mbali mbali na maana zake

avatar27514_6.gif
ha ha
avatar126416_8.gif
 
Sema avatar yangu
mkuu Tyta aliambia niitoe!
 
Last edited by a moderator:
Kama huyu MO11 avata yake na maneno yake anayoongeaga basi yanafanana...Namuona kama ni mtu anayependa utaniii na kuchekaa tena kicheko chenyewe cha utani na kukera watu..

Hii avatar yangu ni katuni ya mchezaji ninayempenda zaidi
 
Nampenda sana huyo mama kwenye avatar yangu.... Kama kuna siku nitafika huko Bondeni hakika nitamtafuta nimwambie kuwa nampenda tu
 
Hivi wewe hujajua mpaka leo kuwa Remote ni Mboga?
Na hapa JF Yupo kibiashara zaidi?

Wenye kujua maana ya hio Avatar yake Huwa wanam pm tu halafu wanakutana Na Kumaliza biashara.

Mtoto wa Kiume Lainiiiiii.

Binti jiangalie nitakutafuna.. oooh!
 
Last edited by a moderator:
Nampenda sana huyo mama kwenye avatar yangu.... Kama kuna siku nitafika huko Bondeni hakika nitamtafuta nimwambie kuwa nampenda tu

Nitafute nikuunganishe naye....Mwaka jana tulikuwa naye pale Durban na tukafanya naye mavituz...

Ukitaka live pics naweza kukutumia!
 
Hivi wewe hujajua mpaka leo kuwa Remote ni Mboga?
Na hapa JF Yupo kibiashara zaidi?

Wenye kujua maana ya hio Avatar yake Huwa wanam pm tu halafu wanakutana Na Kumaliza biashara.

Mtoto wa Kiume Lainiiiiii.

Hahahaha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom