majorbuyoya
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,828
- 568
.......Kahtaan lazima awe mshindi wa mashindano hayo!Nipo mbioni kuandaa hilo shindano, zawadi nono itatolewa kwa mwenye uwezo wa kupiga shabaha kama hizo.

........Kuna member anajiita Evelyne Salt, Avatar yake na comments zake huwa ni burudani!Wengi wao comments na jinsi walivyo ni sawa na avatar zao