Strictly Syrup
JF-Expert Member
- Aug 4, 2013
- 1,227
- 1,821
labda ujaribu kutafuta(kama ipo) the latest version...Ni kwa uwezo wa Mungu tumeweza kuiona siku nyingine mpya WanaJF. Tafadhali kwa yeyote ambaye amewahi ku-face hili tatizo na akafanikiwa kulitatua, basi atoe msaada maana mpaka sasa sijapata desktop file search nzuri kama Avafind.
Shukrani.
- Ndugu Ambroce_Junior , nxon Tumia Everthing
​
- Ufumbuzi ni kutumia software nyengine katika kusearch katika PC yako.
- Ndugu Ambroce_Junior , nxon Tumia Everthing
Kwenye PC yangu file search ya Windows 8.1 inasearch C: tu nimegundua hilo. Ama maybe kuna settings. Lakini File search iliyopo kwenye Hii OS inabehave hivyosearch yake inafanya kila kitu
Kwenye PC yangu file search ya Windows 8.1 inasearch C: tu nimegundua hilo. Ama maybe kuna settings. Lakini File search iliyopo kwenye Hii OS inabehave hivyo
Mpaka uongeze drive/location nyingine kwenye windows search index. Fungua control panel then search index halafu chagua Indexing Options ---> Advanced halafu utaongeza new location. au fungua my computer then right click drive unayotaka halafu tick ile option inayosema allows files on this drive to have contents indexed....
ila bado Ava find ni nzuri zaidi tatizo la Ava findi ina stack kwenye windows 8.1&[HASHTAG]#8203[/HASHTAG];
- Ufumbuzi ni kutumia software nyengine katika kusearch katika PC yako.
- Ndugu Ambroce_Junior , nxon Tumia Everthing
&[HASHTAG]#8203[/HASHTAG];Download Everything for Windows 2000, XP, 2003, Vista, 2008, Windows 7 and Windows 8
Nakupa sababu mbili kuthibitisha kuwa AvaFind haifai.ila bado Ava find ni nzuri zaidi tatizo la Ava findi ina stack kwenye windows 8.1