The Great Engineer
Member
- Aug 8, 2016
- 39
- 44
- Thread starter
-
- #21
hiyo ni kawaida mkuu na kuhusu kuiba labda ningeonesha circuit diagram na code ya hiyo system labda ndo wangeiba lakini hizo picha ni system iliyokamilika mkuu so hakuna tatizo.Kuna wengine ni wiziwa idea za watu.
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Sawa, but kwa wataalam wa electronics tukiona tu muundo kwa juu basi hata design ya circuit inapatikana, labda ingekuwa kwenye case.hiyo ni kawaida mkuu na kuhusu kuiba labda ningeonesha circuit diagram na code ya hiyo system labda ndo wangeiba lakini hizo picha ni system iliyokamilika mkuu so hakuna tatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
ndani ya mda huo kama itakuwa inasumbua kutakuwa na marekebisho ya bure
sio rahisi kama unavyofikiria mkuu.Sawa, but kwa wataalam wa electronics tukiona tu muundo kwa juu basi hata design ya circuit inapatikana, labda ingekuwa kwenye case.
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Ahsante mkuu kwa ushauri wako, niko njiani kufanya hivyo.Kwanza kazi nzuri, Hongera sn..
Nashauri try to utilize material vizuri maana naona jinsi ulivyozipanga na pia unatumia nyaya ndefu unnecessary. Try to economise.
Hiyo idea yako ikuze ikiwezekana boresha muonekano iwena housing nzuri ya kuvutia ..
Pia jaribu kasajili kampuni ambayo utakuwa inazalisha vifaa vyako na kuvitangaza kwa wingi na pia kupeleka kwenye maonesho mbalimbali ubumifu wako...
Iphone 5
ok sawa mkuu nimekuelewa Ahsante, na sensor unavyosema ya kuwasha taa, unamaanisha upande huohuo wa system ya maji au unamaanisha taa zinazotakiwa kuwaka zenyewe endapo giza likiingia na kuzima zenyewe mwanga ukiingia? na kuhusu bei ya system ya maji kuna maelewano mkuu na bei unaona kubwa kwasababu ya upatikanaji hafifu wa vifaa huwa naagiza China mkuu.Nakupongeza kwa hatua uliyofikia. Hatuna budi kujivua vya kwetu. Wahenga wanasema "fake it till you get the original one". So umefanikiwa kupata kitu kinachofanya kazi. I'm sure utaendelea kukiboresha kadiri siku zinavyokwenda. Ila nakushauri punguza bei ili bidhaa yako inunuliwe kwa wingi. Linganisha bei na vifaa vya vinavyotoka nje then ona namna gani utauza kifaa chako. Pia nikushauri utengeneze na ile censer ya kuwasha taa. Ni hayo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Censer ya kuwasha taa giza likiingia. Nichek pm tuone kama bei ni reasonable niweze chukua.ok sawa mkuu nimekuelewa Ahsante, na sensor unavyosema ya kuwasha taa, unamaanisha upande huohuo wa system ya maji au unamaanisha taa zinazotakiwa kuwaka zenyewe endapo giza likiingia na kuzima zenyewe mwanga ukiingia? na kuhusu bei ya system ya maji kuna maelewano mkuu na bei unaona kubwa kwasababu ya upatikanaji hafifu wa vifaa huwa naagiza China mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo ipo pia mkuu.. nicheck kwa 0756060343/0717677776Censer ya kuwasha taa giza likiingia. Nichek pm tuone kama bei ni reasonable niweze chukua.
Sent using Jamii Forums mobile app
maelewano yapo mkuu nicheck 0756060343/0717677776Wazo lako ni zuri saana. Ila changamoto inakuja kwenye gharama tu. Mie natumia float switch ya 21,000 tu kufanya kazi hiyo. Nimependa saana kuongezea levels za maji
Post sent using JamiiForums mobile app
yaah najua kuwa system zilizopo ni zile za kudumbukiza Boyer ndani tank sasa ukumbuke kuwa vile viboyer vinatumia signal za umeme kwa maana hiyo ile signal ya umeme imebebwa ndani ya wire tena huohuo wire na viboyer vimedumbukizwa kwenye maji sasa kuna tatizo la kuja kupata kutu pia ambapo itafanya pump isifanye kazi vizuri kwani ufanyaji wa kazi yake inategeme hiyo signal ya umeme sasa na kutu ni kizuizi kikubwa cha umeme kutokupita na ndiomaana tunazidi kuwarahisishia kwa kuleta vitu vyenye ubora zaidi kama hii system mkuu... hii system hauwezi ukaifananisha na hizo zingine za kudumbukiza minyaya kwenye tankTatizo hapo ni bei maana wengine wanatumia kiboya fulani hivi