The Great Engineer
Member
- Aug 8, 2016
- 39
- 44
Tunaweza kuwasiliana nami kupitia 0756060343Mimi ni kijana niliyehitimu Degree ya Electronics & Communication Engineering, najihusisha na kudesign systems mbalimbali za kielectroki, kwa wale wanaotumia underground water yaani kama wanatumia maji ya visima kwa kusaidiwa na pump ili kujaza maji kwenye tank yanapoisha, sasa hii system ni suruhisho tosha la kuondoa hali ya mtu kwenda kuwasha pump ya maji inapotokea maji yameisha au kuzima pump inapotokea maji yamejaa kwenye tank mpaka kumwagika, hii system inafanya kujaza maji kwenye tank inapotokea yameisha bila kuruhusu hata tone la maji kumwagika na ikitokea yameisha itajaza maji kwenye tank yenyewe mpaka level ya juu kwani kuna kuwa na sensor maalumu kwahiyo haitohitaji mtu wa kuzima na kuwasha pump, system inakuwa inajiendesha yenyewe na utaweza kuona pia level ya maji kwani kunakuwa na display, utaweza pia kuona status ya pump kama imezimwa au imewaka, kwa yeyote mwenye uhitaji anaweza kuni PM kujua bei na vitu vingine.
View attachment 544958
View attachment 544959
View attachment 544960
View attachment 544962
View attachment 544964
View attachment 544965
Post sent using JamiiForums mobile app
OK poa mkuu nimekuelewa, being yake ni TSH 300,000/=Weka bei bana, mbona wasomi wa Tanzania mnakua mnaogopa kutaja bei. We toa rough estimate ya bei yako....biashara ya kwenda PM wengine hatupendi.
King Sammy
Swali lako zuri, Zile za madukani zinatumia sensors ambazo ni lazima zidumbukizwe kwenye maji ndani ya tank sasa na hizo sensors zipo mfumo wa copper na kama tunavyojua copper inaweza ku-react na maji ikatengeneza kitu kinachoitwa kutu na kutu ikitokea kwenye sensors manake system nzima itakuwa haileti vipimo sahihi, ukija kwenye hii system yangu sensor kwanza ni moja tu inayotumika, pili haidumbukizwi kwenye maji, tatu inauwezo wa kukuonyesha levels za maji kwenye display, inauwezo pia wa kukuonyesha status ya pump kama imewaka au imezima na mwisho itakupa alarm kukujulisha kuwa maji yameisha au yamejaa.Ina tofauti.gani.na hizi za.madukano?
Post sent using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu ila gharama iko juu.Swali lako zuri, Zile za madukani zinatumia sensors ambazo ni lazima zidumbukizwe kwenye maji ndani ya tank sasa na hizo sensors zipo mfumo wa copper na kama tunavyojua copper inaweza ku-react na maji ikatengeneza kitu kinachoitwa kutu na kutu ikitokea kwenye sensors manake system nzima itakuwa haileti vipimo sahihi, ukija kwenye hii system yangu sensor kwanza ni moja tu inayotumika, pili haidumbukizwi kwenye maji, tatu inauwezo wa kukuonyesha levels za maji kwenye display, inauwezo pia wa kukuonyesha status ya pump kama imewaka au imezima na mwisho itakupa alarm kukujulisha kuwa maji yameisha au yamejaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
gharama ya kawaida sana mkuu kwani vifaa vilivyotumika kuiunda hiyo vingi havipatikani hapa bongo.
picha ya mchana kivipi? na motor au pump ni zile zinazotumika kwaajili ya underground water au hata kwenye mambo ya umwagiliaji wowote.naomba picha ya mchana niiione hyo mota kwa ujumla wake inafananaje
Sent using Jamii Forums mobile app
kupima level ya maji natumia sensor inayopima umbali wa kitu na uwezo wake ni kuanzia sentimita 2 hadi sentimita 400 kifaa hicho kinaitwa ultrasonic sensor na kupangilia level za maji natumia kompyuta na pia hizo level zinategemea na ukubwa wa tank lako la maji kwahiyo kitu cha kwanza ni lazima nijue urefu wa tank lako na sio upana kwani kama nivyoeleza awali kuwa sensor ninayotumia yenyenyewe inahusika na umbali wa kitu kilipo, na mda wa maji kujaa inategemea na ukubwa wa tank lako pili na nguvu ya pump unayotumia. lakini kwa ujumla kuitengeneza hiyo system komputa imehusika kwa kiasi kikubwa sana.Dah.....
Mwanzo mzuri.... Ila bei iko juu sana.... nadhani Utaendelea kuipunguza kadiri utakapo kuwa unaiendeleza kifaa chako. Unapimaje level ya maji kwenye tank ya kuhifadhia maji? Unajuaje kama maji bado yapo kisimani ili kuilinda pump yako? [emoji41]
Sent from my chips yai using JamiiForums Mobile App
Kwa ushauri wangu kuweka tu hiyo picha ya system yako ni tatizo, kwani hapa maengineer wapo wengi na kuonekana kwake, basi ujue ni kama tayari umeshawapa watu idea, subiri kupigwa bao.Mimi ni kijana niliyehitimu Degree ya Electronics & Communication Engineering, najihusisha na kudesign systems mbalimbali za kielectroki, kwa wale wanaotumia underground water yaani kama wanatumia maji ya visima kwa kusaidiwa na pump ili kujaza maji kwenye tank yanapoisha, sasa hii system ni suruhisho tosha la kuondoa hali ya mtu kwenda kuwasha pump ya maji inapotokea maji yameisha au kuzima pump inapotokea maji yamejaa kwenye tank mpaka kumwagika, hii system inafanya kujaza maji kwenye tank inapotokea yameisha bila kuruhusu hata tone la maji kumwagika na ikitokea yameisha itajaza maji kwenye tank yenyewe mpaka level ya juu kwani kuna kuwa na sensor maalumu kwahiyo haitohitaji mtu wa kuzima na kuwasha pump, system inakuwa inajiendesha yenyewe na utaweza kuona pia level ya maji kwani kunakuwa na display, utaweza pia kuona status ya pump kama imezimwa au imewaka, kwa yeyote mwenye uhitaji anaweza kuni PM kujua bei na vitu vingine.
BEI YAKE NI TSH 300,000/=
MAWASILIANO ---------> 0756060343.
View attachment 544958
View attachment 544959
View attachment 544960
View attachment 544962
View attachment 544964
View attachment 544965
Post sent using JamiiForums mobile app
sijakuelewa unamaanisha nini? kwani Mara ya kwanza nilipost bila picha watu wakaanza kuhoji kuwa inabidi niweke angalau na picha ya system yenyewe sasa Leo nimeweka picha mnaanza tena kuongea kuwa nisiweke picha so which is which?Kwa ushauri wangu kuweka tu hiyo picha ya system yako ni tatizo, kwani hapa maengineer wapo wengi na kuonekana kwake, basi ujue ni kama tayari umeshawapa watu idea, subiri kupigwa bao.
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Kuna wengine ni wiziwa idea za watu.sijakuelewa unamaanisha nini? kwani Mara ya kwanza nilipost bila picha watu wakaanza kuhoji kuwa inabidi niweke angalau na picha ya system yenyewe sasa Leo nimeweka picha mnaanza tena kuongea kuwa nisiweke picha so which is which?
Sent using Jamii Forums mobile app