Challenges zipo nyingi, kwasababu tumekwama hatua za awali kabisa, kabla ya kuja na wazo la high tech bado kuna changamoto za wakulima kutegemea jembe la mkono, sababu sio hawapendi trekta bali uwezo na umaskini wa hali ya juu, bado mifumo ya masoko si mizuri ya kumshawishi mkulima ku invest kwenye tech asiyojua mbele itakuwaje.
Project ni nzuri sana ila ipo mbele sana, imetuacha nyuma sana kwa lugha nyingine, ila kwa kuanzia zoezi la ku spray dawa kwa drones linaweza kuwa hatua ya awali then mengine yanaweza fuata kulingana na mafanikio ya hatua za mwanzo.