Automated Agriculture:

Chenchele

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
1,984
2,500
Can a drones, robotics and AI saves a TZ agricultural sector from sinking and starvation???

Lets explore how the stuffs works:

Automated agriculture ni kilimo cha kisasa kabisa besides na kutumia tractors bali hiki hutumia drones(small self driven chopper-like) , roboti na Artificial intelligency , solar powered pump, tractors, and other related machines...
de086a951b8971b5b2dcf5238ca6812e.jpg
89af2694688064d39c0669dad863c31f.jpg
35343284415c86741c20e9a6e6ca1e69.jpg
9d643e69fc1b976b05d55a75ef085352.jpg
1ba32425231bdc6c2b39c204a9e3591d.jpg
96a8876fc1b95432b8d3ccbbe42b1068.jpg
8dbe2002e94f7025c666aeef2a3db2ae.jpg
basi unaweza kulima huku unachez bao...

Robots, tractors wanaweza kulimaa...

As the population of the world continue to grow but agri. Sector seems to be less proportional, henceforth:

...The world may need another agricultural revolution to sustain itself...

Now days manpower upande wa agr. Imepunguwa so wakati mwingine ukiacha na ufinyu wa budget katika sector hii basi tatzo lingine ni technology...

Few of millions advantages za automated agriculture:

1. Saves time
2. Drones zinaweza kufanya irrigation when there is no rain
3. Less manpower ....hakuna mtu anapenda kulala miaka yote porini kulima half wewe ununue na kuishi mjini.
4. Increase production more than using normal tractors and pumps
etc....
5. UCHUMI WA VIWANDA. etc.
6. Unaweza kuzifuma drones shambani kama hujisikii kwenda
7. Huwezi kuzima ndoto za mwanao kuacha kusoma kisa aje shamba kukusaidia kulima , acha ale raha na wana wa wafalme mjini...asee

Unaweza kuwa na drones tano ambazo zinatumia mafuta, betri au solar na zikapaa juu ya shamba asubuhi bas zikishuka chini jioni shamba lote bwawa...hii inaweza kuokoa nguvu kubwa , kurahisisha kazi ...

If agri. Sector claims for 75% of Tz population na ni uti wa mgongo wa uchumi wa taifa, how can there be an industrial economy without this sector ?

Sometimes school Grades may destroy our skills and talents...now days Tz engineers are competiting to have higher GPA than devicing and innovation..

But still there are two ways that will get us there:
Grades/GPA and Skills..

The moment you know you were lost , if you have been focusing, you can still hit the target..
 
Duh,, Mzee hiyo agriculture iko more sophisticated na iko poa pia., Lkn thatha Mtu mfano wa Kolomije huko anaweza mudu operation cost za izo drones kweli licha ya Initial cost za kununulia??

Bila shaka izo ni kwa ajili ya mashamba makubwa mno ya wakulima wakubwa ila sio sisi waganga njaa wa huku kwetu Kolomije..!!
 
Yeah.. But if kilimo ndo ajira yako haiwez kuwa shida ...unaweza tu mkuu hii inaweza kukwamua sector...wazungu hizi idea wanazo but hawana mashamba wangekua nayo tungesha uziwa maharage muda sana
 
Duh,, Mzee hiyo agriculture iko more sophisticated na iko poa pia., Lkn thatha Mtu mfano wa Kolomije huko anaweza mudu operation cost za izo drones kweli licha ya Initial cost za kununulia??

Bila shaka izo ni kwa ajili ya mashamba makubwa mno ya wakulima wakubwa ila sio sisi waganga njaa wa huku kwetu Kolomije..!!
Kuunda drones ni rahisi sawa na motor ...sema hizi ideas kwa Tz engineers ndio very rarely
 
Wa kwetu huwa ni maintainers sanasana., Wakiendaga vyuoni wanafundishwa kunywa vitini sio kubuni..!!
Hapo wananiachaga hoi...mpaka serikali inachukua ma IT rwanda that means computer scientist wakwetu hawajui ku code?
 
Wa kwetu huwa ni maintainers sanasana., Wakiendaga vyuoni wanafundishwa kunywa vitini sio kubuni..!!
That's why ni vigumu ma engineers wa kwetu kuapply kazi abroad maana kule skills na talent inahitajika sio vitini...labda achukuliwe tu even for low salary
 
Hapo wananiachaga hoi...mpaka serikali inachukua ma IT rwanda that means computer scientist wakwetu hawajui ku code?

Wapo kibao wamejazana UD hasa hao wa C. Science na kujiita chuo kikuu bora Africa.,, Lkn wanatoka maboko ajabu bora hata product za vyuo vya certificate na diploma.,,!!

Kuna dada nishawahi mwambia anitengenezee Website akasema alivokua mwaka wa mwisho ali specialize sjui madudu gani cjui?? Nikamwambia Asante kwa Muda wako Mrembo tukutane club gan mamaa tupoteze muda weekend c unajua tena nimetoka Kolomije.,, Mama yangu nlitajiwa chocho izo mia kidogo..!! Nikasema kumbe sku hiz magraduate ni mastripers pia
 
Wapo kibao wamejazana UD hasa hao wa C. Science na kujiita chuo kikuu bora Africa.,, Lkn wanatoka maboko ajabu bora hata product za vyuo vya certificate na diploma.,,!!

Kuna dada nishawahi mwambia anitengenezee Website akasema alivokua mwaka wa mwisho ali specialize sjui madudu gani ?? Nikamwambia Asante kwa Muda wako Mrembo tukutane club gan mamaa tupoteze muda weekend.,, Mama yangu nlitajiwa chocho izo mia kidogo..!! Nikasema kumbe sku hiz magraduate ni mastripers
Hahaha inabidi tubadilike hasa mtindo wa CoET na CoICT sio mzuri...UD ingekuwa na labs kubwa ambazo engineer akimalza pamoja na training bas anaweza compete sasa habri ya pastpapers yan kabla pepa halijaja bas washajua panapotoka...haya mazoea yanaua talent na thinking capacity
 
But magraduate wa vyuo vya ufundi wanajitahd kidogo walau sku izi naona wamebuni mashine za mpaka kufukuzia ndege shambani., Zipo kama small drones zinazunguka zinatoa sauti kali sana., Nikawapa dole..!!
 
But wagraduate wa vyuo vya ufundi wanajitahd kidogo walau sku izi naona wamebuni mashine za mpaka kufukuzia ndege shambani., Zipo kama small drones zinazunguka zinatoa sauti kali sana., Nikawapa dole..!!
Hii nzuri sana ...nchi nyingi eg singapore zimepiga hatua kitech kisa VETA sasa sisi tunawadharau sana veta...VETA na Techies wa singapore ndo wanao tengeneza Luku meter za tanesco...tukiendelea hivi tutafika.
 
Mkuu project ikiwa vzur na jwa vile ni habar za kilimo benki haziwez kusita mikopo
Kabla ya project kuwa nzuri nyuma yake kuna watu wanaofanya project iwe nzuri, hawa watu hawashushwi mbinguni wameandaliwa vizuri, maandalizi haya mazuri yanataka miundombinu mizuri, miundombinu mizuri inataka uwekezaji wa pesa. Hapo ndipo nimelenga kwa hiyo unaweza kujioenea mlolongo wa kupata project nzuri unaanzia wapi.
 
Yeah nimekupata mkuu
 
Back
Top Bottom