Aunty Ezekiel ampiga dongo Lema

Mkuu gana point tule kuna siku bungeni aliropoka eti wawekezaji wa vitalu vya gas hawaji na pesa bali wanakuja na labtop na wanakaa hotelini na kuomba kuwekeza kisha pesa wanakopa ktk mabank yetu nilimdhalau sana
Yaani hapa ndiyo umejidharaulisha kabisaaa!! Unaikumbuka. TRL ya wahindi?walikuja na mtaji wa tsh 50,000 tu!nyingine walikopea hapahapa
 
Ni shida kwan hao wsbunge hawana mmbo ya msng kuongea?waache lolongo banaa shidaaaaah
 
Nilimsikiliza waziri jana ktk kipindi cha leo tena ya clouds fm,waziri alitumia nguvu kubwa sana kujitetea,mpaka ikawa inaleta hisia tofauti kwamba nikweli alitembea na Aunt.
 
Naikumbuka hotuba ya nyerere kuhusu waziri alieonekana tu akipita na kimada barabarani..sioni sababu ya nyalandu kuendelea kuwa waziri.
 
Mkuu gana point tule kuna siku bungeni aliropoka eti wawekezaji wa vitalu vya gas hawaji na pesa bali wanakuja na labtop na wanakaa hotelini na kuomba kuwekeza kisha pesa wanakopa ktk mabank yetu nilimdhalau sana

Kwani uongo? Halafu jifunze kiswahili.
 
Aunt Ezekiel anatakiwa kumpuuza Lema maana Lema ni mropokaji ana julikana kabisa! Kwanza Aunt Ezekiel ana akili sana kumzidi Lema! Ni bora wana Arusha wangempa ubunge Aunt Ezekiel kuliko Lema!

Lema ni mropokaji na hakuwai kuongea point muhimu bungeni!
 

Hiyo ni hoja ya kyongelewa bungeni??
Si udaku wa facebook?
Atafute hoja siyo mambo ya kitoto kama hayo.
 
Tanzania mpaka sasa hakuna sector inayofanya vizuri kwa zaidi ya miaka 50 sasa.Mapenzi ya ovyo (Umal.aya)ndio sector bora kupita zote
.Ni jukumu la waziri kuchagua ma.laya wachache na kwenda nao huko dunian kuwajulisha.Msipende kulaumu kila kitu
 
Afadhali wangebeba kikundi cha wasanii wa kimasai angalao ingeleta maana
 
Ukweli upi unaojua wewe juu ya Aunt Ezekiel na Nyalandu ambao Lema haujui??

Mambo ya facebook utapelekaje bungeni? Angalia sasa mbunge mzima anashushuliwa ktk vyombo vya habari na bongo movies!! Shame...
 
Afadhali wangebeba kikundi cha wasanii wa kimasai angalao ingeleta maana

Yule alibeba kiburudisho cha kujivinjari nae safarini, hao wamasai wangeweza kumpa penzi huyu LN?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…