Tongue blister you must be a hater!Mkuu the Boss nadhani ni kuunge mkono katika hili !!!! Hawa si watu wa kutazama hata kidogo na mwingine ni Lady Jey Dee..!! Hata kutazama filamu zao sipendi wala kwenda kwenye miziki yao , Nikiwa ndani ya Bus wakiweka filamu au nyimbo zao huwa napata kichefu chefu au nijifunike na mto nisione wala kusikia..Sipendi Vicheche hao..!!!!
Asante sana BalantandaHapana ni binti ila jina lake ni Aunt baba yake ndo anaitwa Ezekiel,ni binti wa mwanasoka mahiri wa zamani Ezekiel Greyson 'Jujuman'..
Tongue blister you must be a hater!
heheeeeHapa rahisi ukiwa na mai waifu wako jirani ukakuta unapigwa konzi maana kuacha kumwangalia si rahisi. Watu wengine wameumbwa kuleta vurugu duniani tu aaaaaggggggggggggggh!
well noted!Mkuu wacha niwe Hater !!!! Naongea kile na feel .. I do hate them kwa kweli..!!!! Hawa mabinti wengi wao ni wachafu sana..Wanatumia sura zao kiuchafu chafu tu..Jamii ya jinsi hiyo siipendi..!!!
sawa mkuu...Inabidi mdada huyo apate darasa la kupiga picha! Pozi zake ni za kizamani sana!
Naona hapa kaamua kuficha shanga yake ya kiunoni
aunt endelea kukimbiza watu ile mbaya...jamani nimeona niwashirikishe wenzangu kuona picha za selebriti wetu aunt ezekiel.
Hakyanani vile, mai waifu akinikuta naangalia picha hizi lazima ataanza kuhisi namhitaji huyu tu. Binti kaumbika mashalah, lakini nahisi kwakuwa anajua basi atakuwa anaringa ile mbaya, na atakuwa aghali sana au hafai kabisa. Kwangu hafai kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaunt endelea kukimbiza watu ile mbaya...
Mkuu kibunango, huyu lakini sidhani kama ni mkali kiviiiiile, ni kwa vile ana access ya kuwa kwenye luninga sana. Kuna watoto wakali si kitoto. Subiri Masanilo atoke Bongo arejee akupe upande wa pili, atakwambia huyu hamna kitu, ni make up na vijisenti vimemwongezea kufikia anavyoonekana hivi. Naona ana shanga za gold, dah, mitego hii jama!Naona hapa kaamua kuficha shanga yake ya kiunoni
kazi ipo mwaka huu.....Mkuu kibunango, huyu lakini sidhani kama ni mkali kiviiiiile, ni kwa vile ana access ya kuwa kwenye luninga sana. Kuna watoto wakali si kitoto. Subiri Masanilo atoke Bongo arejee akupe upande wa pili, atakwambia huyu hamna kitu, ni make up na vijisenti vimemwongezea kufikia anavyoonekana hivi. Naona ana shanga za gold, dah, mitego hii jama!
Inabidi mdada huyo apate darasa la kupiga picha! Pozi zake ni za kizamani sana!
and she is PHAT. Macellulite kibao halafu mwili una rangirangi kama rainbow.
GT upo wapi??
Ni muonekano wa kujifariji uliofunikwa na ukungu wa kufikiri wenye mwanga wa muda na sehemu anayotazama tu,kwani umechangia vipi kubadilisha jamii au wasichana wenzake kubadilika kimaendeleo au kuinua sehemu ya uchumi wa tanzania
mbona anaonekana kama jambazi la siku nyingi.
wanatafuta umaarufu kwa nguvu
nasikia huyu ni shemale....plz msaada wenu...
Mkuu the Boss nadhani ni kuunge mkono katika hili !!!! Hawa si watu wa kutazama hata kidogo na mwingine ni Lady Jey Dee..!! Hata kutazama filamu zao sipendi wala kwenda kwenye miziki yao , Nikiwa ndani ya Bus wakiweka filamu au nyimbo zao huwa napata kichefu chefu kibaya utadhani nilikuwa kwenye bembea kama lile la Jamaica !!! Huwa naombaga wazime au wanipatie pillow nijifunike nisione wala kusikia..Sipendi Vicheche hao..!!!!
Ok.Mkuu wacha niwe Hater !!!! Naongea kile na feel .. I do hate them kwa kweli..!!!! Hawa mabinti wengi wao ni wachafu sana..Wanatumia sura zao kiuchafu chafu tu..Jamii ya jinsi hiyo siipendi..!!!
Pamoja mkuu.
Ila kwa pozi hilo tupo tunaotokwa na udenda mkulu.Inabidi mdada huyo apate darasa la kupiga picha! Pozi zake ni za kizamani sana!
Kweli mkuu una macho makali.
Naona hapa kaamua kuficha shanga yake ya kiunoni
Sure.Mkuu una macho mazuri sana kiasi umeweza kuiona ile shanga !!!! hasa ukizingatia ipo karibu na maeneo ya makalio !!!!
Inawezekana pia mkuu.Mkuu kibunango, huyu lakini sidhani kama ni mkali kiviiiiile, ni kwa vile ana access ya kuwa kwenye luninga sana. Kuna watoto wakali si kitoto. Subiri Masanilo atoke Bongo arejee akupe upande wa pili, atakwambia huyu hamna kitu, ni make up na vijisenti vimemwongezea kufikia anavyoonekana hivi. Naona ana shanga za gold, dah, mitego hii jama!
and she is PHAT. Macellulite kibao halafu mwili una rangirangi kama rainbow.
Na mvuto juu.
GT upo wapi??
haters never live long!
wacha weeeeeeeeee.....Umekuwa wa kwanza kufungua utepe wa IGNORE LISTING 2010. Hongera!
Mhhhh.......
Mimi msichana tanzania hii akiwa yupo kwenye muziki au
filam za kibongo au hata urembo huwa nakuwa sina hamu nae kabisa
mimi huwa na kinyaa sana.....
Wasichana kama hawa na hao wengine
wanaosifiwa na magazeti ya udaku
sjui irene uwoya au wema sepetu au johari au ray c...
Hata nipewe bure siwataki............
Sio wote wenye tabia mbaya kuna wengi tu nawafahamu wanatabia nzuri na wako kwenye fani za music, film, miss etc. I repeat SIO WOTE.