Aunt Ezekiel kuvaa hivi mbele ya mtoto mdogo ni ujanja ama ushamba?

Juzi niko zangu kwenye daladala akaingia Mama mmoja na mtoto wake wa kike miaka km 6 hivi au 7 huyo mtoto kavalishwa kisuruali chepesiii...hlf kimembana hatareee...balaaa lilikuja mtoto ana msambwanda utadhani mtu mzima yule mama akamwambia yule mtoto kaa na Kaka yako hapo yaani akae na mimi
Kama nakuona mzee umepakata kitoto kimeukalia huku gari likiyumba...
 
Wewe ni sampuli ya kina faiza, na huyu dada .
Na baadhi ya wasanii wabongo ambao wanavaa nguo ambazo haziendani na maadili ya mazuri ya binadamu Kwa mujibu wa mafundisho ya vitabu vya dini pamoja na Sheria mbalimbali za nchi.
Jamani binadamu tuwe hata na aibu ya kujisitiri, tusipoangalia tutarudi Zama za ujima, kuishi kama watu wa porini
Sidhani kama mavazi ni njia nzuri ya kum define mtu, japo nakiri pia ni factor muhimu kwa jamii yetu. Kuna watu wanavaa madera/ sijui majuba huku ndani wakiwa hwana hata pichu. Kuna watu wanavaa juba wakati wanaenda kufanya maasi makubwa, mf ujambazi, kuchepuka au kuiba waume za watu. Nadhani ifikie wakati tukubali kuwa ubora wa mtu hauendani na mavazi, bali ni tabia za mtu mwenyewe na matendo yake.
 
Unashangaa huo mwavuli wakati wengine wanaingia nao bafuni na kuoga wote
 
Unamkuta mama wa miaka 45 amevaa hivo unajikuta upo njiani umemkwaa peke yenu. Halafu yeye yupo mbele yako. Hivi kumuangalia utafanya kosa. Maana imetokea then akakosa kujiamini akabaki kuangalia nyuma tu
 
Juzi niko zangu kwenye daladala akaingia Mama mmoja na mtoto wake wa kike miaka km 6 hivi au 7 huyo mtoto kavalishwa kisuruali chepesiii...hlf kimembana hatareee...balaaa lilikuja mtoto ana msambwanda utadhani mtu mzima yule mama akamwambia yule mtoto kaa na Kaka yako hapo yaani akae na mimi

Lohhh kwahiyo ulimpakata??
 
Kapendeza mno aisee!Mungu anipe kitoto cha kike tu hatojutia,alafu acheni unafki mavazi hata siku moja ayawezi kuonyesha tabia za mtu kamwe katu,,
 
Mkuu Beautiful Nkosazana fahamu kwamba wazazi wako wa kwanza walikaa uchi wa mnyama bustanini. Kukaa "uchi" siyo kigezo sana, jambo la muhimu ni kumtii MUNGU na kuzishika Amri zake. Na katika Amri za MUNGU hakuna hata moja inasema; "na usikae uchi, au usitembee bila nguo".

Tatizo letu wanadamu tunaacha mambo ya msingi na kuhangaika na mambo yasiyokuwa na maana. YESU alitufananisha na vipofu pale aliposema; "mnachuja Mbu na kumeza Ngamia".
 
Mkuu Imeandikwa " mwanamke asiache kujistiri Kwa mavazi ya heshima"
Maana Yake mwanamke anapaswa kuvaa mavazi ya stara!
Biblia imeandika kuhusu mavazi ya Kikahaba Je unayafahamu?!
 
Back
Top Bottom