- Thread starter
- #21
dah! umemaliza kazi.......Ni cheo ceremonial. Ni sawa na mke wa boss, lakini ni mama wa nyumbani tu.
dah! umemaliza kazi.......Ni cheo ceremonial. Ni sawa na mke wa boss, lakini ni mama wa nyumbani tu.
Ni kula mshahara tu.Kikatiba majukumu yake ni yepi? Kuna mtu kasema kula mshahara
Basi tuombee litokee tuoneAna nguvu, mfano rais akifariki, yeye makamu anakuwa rais, kama vile kipindi kile cha hayati magufuli
Hicho ni kilemba cha ukoka tu.Othman aliyeapishwa Zanzibar kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais, ana nguvu gani ya maamuzi akitokea ACT Wazalendo?
Anaweza aka command nini?
Ni upinzani au ni mshirika wa CCM
Au ni stooges tu lipolipo as long as anapata vingora na mihela?
Lipigwa mitiOMO ni makamu wa kwanza wa wa Rais wa Zanzibari katika serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar.
In fact ni kiburi, ujeuri, ubinafsi na majivuno yake tu ndio yamemchelewesha kushika wadhifa huo, akidhani wananchi wa Zanzibari wanaweza kumkataa Rais Hussein na kumfuata yeye.
Kiujumla,
hana nguvu wala ushawishi wowote ule wa kisiasa au kiuchumi, ndani au nje ya ACT- wazalendo. Ni mwanasiasa wa kawaida sana Tanzania 🐒
Sio kweliAna nguvu, mfano rais akifariki, yeye makamu anakuwa rais, kama vile kipindi kile cha hayati magufuli
Sio kweli. Kasome Katiba ya ZanzibarAna nguvu, mfano rais akifariki, yeye makamu anakuwa rais, kama vile kipindi kile cha hayati magufuli
Umesema ukweli kabisa kaka mkubwaViongozi wa Act ndani ya SUK, wanatekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM!, hana mamlaka yoyote ndani serikali zaidi ya ving'ora, ulinzi, heshima, ufahari, posho na protokali.
P
Makamu wa pili wa RaisMwinyi Kiwa nje ya nchi nsni hukabidhiwa nchi
Hao ACt huwa wanasusia kwa muda ila mwisho wa siku wanakubali. Hiyo ndio sababu kubwaKunakuwaga na changamoto zipi zinazo chelewesha kuundwa kwa serikali ya umoja wa kitaifa (SUK) ?
Inakuwaje kila upoisha uchaguzi serikali ya SUK inachukua muda mrefu kuundwa au kuna kudeka na kudekezana?
Majukumu yake atapangiwa na Rais. Ila huwa anashughulikia mambo mawili mazingira na madawa ya kulevya.Kikatiba majukumu yake ni yepi? Kuna mtu kasema kula mshahara
Sababu hawatekani na kuuwana. Huku bara watu wanapenda kumwaga damu za wenzako ndio furaha yao. Mtu anaibuka na kudai wananchi waombe ili Lissu anyongwe. CCM Ina roho mbaya sana, inaamini kwenye mauaji Zaidi.Wazanzibari kwenye nchi yao huwa ni wamoja bila kujali vyama. Kwenye maslahi ya Zanzibar huwa wanakuwa kitu kimoja.
Ni swali la msingi; lakini jibu lake nalo siyo gumu kivile.Othman aliyeapishwa Zanzibar kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais, ana nguvu gani ya maamuzi akitokea ACT Wazalendo?
Anaweza aka command nini?
Ni upinzani au ni mshirika wa CCM
Au ni stooges tu lipolipo as long as anapata vingora na mihela?
Mkuu Tlaa, Tlaatlaah ,asante sana kwa kuliweka hili vizuri, na haswa hili la kiburi, ujeuri, ubinafsi na majivuno yake, lazima abadilike ili Dr. Mwinyi akiondoka ile 2030 kuja huku, huyu aweze kupewa kule!.OMO ni makamu wa kwanza wa wa Rais wa Zanzibari katika serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar.
In fact ni kiburi, ujeuri, ubinafsi na majivuno yake tu ndio yamemchelewesha kushika wadhifa huo, akidhani wananchi wa Zanzibari wanaweza kumkataa Rais Hussein na kumfuata yeye.
Kiujumla,
hana nguvu wala ushawishi wowote ule wa kisiasa au kiuchumi, ndani au nje ya ACT- wazalendo. Ni mwanasiasa wa kawaida sana Tanzania 🐒
Naunga mkono hoja, kiburi si maungwana!, uungwana, ustaarabu, uvumilivu, ustahimilivu na uelewa ni tunu muhimu kwenye kutatua mtanziko wowote wa jambo lolote.ni muhimu pia huyu muungwana akaacha ubinafsi na kiburi ambacho ni changamoto kubwa mno pia kwa ustawi wa demokrasia, umoja na amani ya Wazanzibari wachapakazi na itapendeza zaidi 🐒
shukrani sana mwalimu P 🤝Mkuu Tlaa, Tlaatlaah ,asante sana kwa kuliweka hili vizuri, na haswa hili la kiburi, ujeuri, ubinafsi na majivuno yake, lazima abadilike ili Dr. Mwinyi akiondoka ile 2030 kuja huku, huyu aweze kupewa kule!.
Naikumbuka vizuri post yako hii kumhusu mtu huyu na kiburi chake na jeuri yake,
Naunga mkono hoja, kiburi si maungwana!, uungwana, ustaarabu, uvumilivu, ustahimilivu na uelewa ni tunu muhimu kwenye kutatua mtanziko wowote wa jambo lolote.
Huyu mwamba OMO, ni kweli ni kiburi!, enzi akiwa AJ wa Zanzibar, nilimshauri Dr Shein Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii
Baada ya Dr Mwinyi kumfanya VP-1 wake, pia nikashauri Ushauri wa Bure kwa Dkt. Hussein Mwinyi: Mfute Kazi Haraka Othman Masoud Kabla Hajaendelea Kueneza Sumu
Baada ya Uchaguzi wa 2025, nikawaandikia makala hii
View attachment 3665813
Nikamshauri Zitto https://www.jamiiforums.com/threads...majina-ya-suk-kususa-hakusaidii-kitu.2413666/
Tunaendelea kusaidia saidia kuwaelimisha watu hawa wabadilike, wasipobadilika, hata 2030 watakula jeuri yao tena na kuishia kula kwa macho na ving'ora!.
P
Tafuta katiba ya Zanzibar utapata jibu sahihi, kinachofanyika kimo kwenye katiba ya Zanziba isipokuwa CCM huingiza ubabe kwenye utekelezaji.Othman aliyeapishwa Zanzibar kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais, ana nguvu gani ya maamuzi akitokea ACT Wazalendo?
Anaweza aka command nini?
Ni upinzani au ni mshirika wa CCM
Au ni stooges tu lipolipo as long as anapata vingora na mihela?