Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,913
- 10,263
Kwahiyo Brother Man Daudi naye atakuwa Kama Rizone?
Yule mtangazaji wa chanel 10?
Kwahiyo Brother Man Daudi naye atakuwa Kama Rizone?
Tetty
Kikwete hawezi kuweka mtu atakayetishia maslahi yake na ya CCM. Halafu kuna kitu kingine labda watu wengine hawajui. Jaji Ramadhani ni chanda na pete na Mkapa. Ni marafiki kweli kweli. Lakini mimi bila kuangalia KAMA ataweza au hapana nimefurahishwa na kitu kimoja ambacho Kikwete anakaribia kukifanya: Tanzania fomula ilishakuwa UKITAKA URAIS (hata kama huna sifa).. basi 1. Andaa fedha nyingi 2. tengeneza mtandao kwa kununua watu kadiri uwezavyo 3. Tengeneza mazingira ya kuonyesha unakubalika kwa kununua wapambe, media, kura za maoni, vyama na vikundi mbalimbali huku ''ukiwachafua'' wapinzani wako kwa kila namna na mwisho nunua wajumbe karibu wote wa NEC na mkutano mkuu. Sasa hapa Kikwete anakwenda kuonyesha kuwa hii fomula ni fake na japokuwa yeye aliweza kuitumia lakini ilikuwa bahati tu hivyo WATU WENGINE WASIJARIBU! Ahaa... shikamoo mheshimiwa Kikwete! Mwaka huu ni wachumia tumbo wengi wamewekeza kwenye DECI ya kisiasa! Ni kuvuna mabua kwa kwenda mbele!
hilo haijalishi watanganyika kwa ujumla wetu tutaonyesha nguvu yetu kwenye sanduku la kura.
Nyani Ngabu....
Don't even worry huyu haendi kokote, kaletwa kama kondoo fulani hivi...!!! hafai hata kidogo, beyond bogus huyu...!!!
Na CCM inajua, wananchi wamebadilika sana sasa hivi... wakimuacha Lowassa CCM inakufa mchana, na UKAWA wanachukua nchi haraka sana...!!! na Lowassa yuko radhi kwenda Upinzani, hilo liko wazi, bila shaka umesikia maneno yake mara kadhaa akitafuta wadhamini...akim quote Mwl. Nyerere kuwa WANANCHI wakikosa mabadiliko ndani ya CCM watayapata nje ya CCM..na yeye ndie ataleta mabadiliko hayo either ndani au nje ya CCM na si mwingine kwa Sasa... hakuficha kitu...Lowassa yuko very straight...!!! na HE WALKS THE TALK...!!! He is the Man of Action... hana mchezo, sio mswahili, mswahili...!!! Ni chaguo bora sana kwa sasa...kila tafiti, kura ya maoni, makundi yote ya wananchi wanampenda mnooo, umeona hata wadhamini wengi sanaaaa... ana karma ya kupendwa...
Kuhusu ufisadi ni propaganda tu...ukienda PCCB, DPP, MAHAKAMANI, POLICE, kamati ya maadili ya CCM and tume ya maadili ya viongozi wa umma...kote huko hajawahi hata kushutumiwa tu achia mbali kushitakiwa...hakuna jina lake... so ni propaganda za kisiasa without evidences.... so hazina ukweli, hata yeye Lowassa kasema mwenye ushahidi hata mmoja tu ktk maisha yake aliwahi kuiba alete...hakuna aliyeleta...!! Sbb anajua ni uongo na uzushi wa wabaya wake...!!!
Kuhusu huyu Jaji Mkuu mstaafu hafai, kabebwa, hajulikani na wananchi wapiga kura... pili alivyokuwa Jaji Mkuu, Rushwa ilikuwa balaaa ktk mahakama za Tz...hafai kabisa huyu...!!! hoi bin taaban...!!!"
Lowassa ndie CHAGUO SAHIHI kwa sasa... na wana CCM wengi, wana imani na CCM kwa sasa sbb ya Lowassa tu...!!!
rais wa tanzania mzanzibar
rais wa zanzibar mzanzibar
kweli!! ebu lione hili ccm
Yule mtangazaji wa chanel 10?
Kwahiyo Brother Man Daudi naye atakuwa Kama Rizone?
nani atatusaidia kumuuza mtu mwenyewe hatumfaamu,
poleni wazee wa ccm mliompendekeza mwaka ccm mkimpitisha mtu asiyefaamika au mwizi kazi mnayo.
Duh! Unajua hata haisound kuitamka just imagine "AKizindua mradi huo Rais Agustino Ramadhani alisema......"yaani nakosa radha kabisa jina lake litatamkikaje,listen nahsi jaji anakwenda kupewa jumba bovu,though atashinda general election ila kwa shida sana,ile CCM angepewa Makongoro ndio ingenyooka!
Manina....labda unacheza na moto ww... wananchi hawamjui, hawamtaki hauziki...CCM haifanyi upuuzi huo..
CCM itachagua mgombea anayeuzika ndani na nje ya CCM ili kushinda Urais...!!!!
Kama Leo Unashangaa Rais Agustino Ramadhan Vipi Hushangai Rais Barrack Hussein Obama Wa Marekani? Muwe Mnafikiri Pia Na Nje Ya Box.
System? What do you mean?
Hapana ni Daudi Augustine Ramadhani ni mwanasheria mwanawe alishawahi kunisimamia kesi yangu ya madini huku Arusha na nikashinda.
Very different mkuu,sometimes tukiwa kwenye kejeri za kisiasa hakuna ku-think out of the box,au ulivyoaminishwa kuwa "home of great thinker"unafikiri kila muda una apply hayo madesa yako ulio nayo kichwani mwako,unatoa mifano ya Obama,je huyo Obama ni rais wa uswahilini kwenu huku bongo?
Una Sifa Zote Za Wachuma Mboga. Heko Na Dumisha Tu Tamaduni Za Akina Tony Blair Huko Ulaya Ulipo Na Usisahau Kurudi Na Shanga Tu.
....lakini siyo kumaliza ufisadi ndani ya watendaji chini ya serikali ya CCM.Huyu ni mtu safi ambaye ndiye anaweza kumaliza makundi kwa sasa ndani ya CCM.....
Dalili za mpuuzi ni yule anaekimbilia matusi badala ya hoja,alaf kama hujui mimi ni mchuma mboga muda sana,hata wewe ukitaka unanila ni pesa yako tu,then jua huwa natembea na vilainishi(mafuta)ili usipate tabu ya kuingiza,so karibu!
Umeshabadilisha Pampers Zako?
Hata mimi ningefurahi kama ingekuwa rahisi hivyo! Ukweli ni kwamba kwenye uwanja wa kisiasa ulipo Tanzania CCM sio rahisi kushindwa. Wana kila kitu mpaka ''anayeamua'' nani ni mshindi ni mteule wao. Yes.. ni Lubuva and co. ndio anaamua ni si wapiga kura wanaoamua nani ni mshindi. Kwa mazingira tuliyonayo sasa hivi kitu kitakachoiondosha CCM ni kitu ambacho mimi nitakiita ''extra ordinary unforeseen circumstances''. Vinginevyo tunarudi kule kule. Inatakiwa katiba nzuri na tume huru kabisa ya uchaguzi. Na hiki CCM hawataki kitokee kwani wanajua kabisa ndio utakuwa mwisho wao.