Augustino Ramadhani: Chaguo la system

Augustino Ramadhani: Chaguo la system

Atauweza mfupa alioushindwa fisi?Namuonea huruma tu.Maana zigo la kichaa wanamwachia pole zake.

Hamna nchi rahisi kutawala kama Tanzania. Nina uhakika mtu yoyote mwenye akili timamu anaweza kutawala Tanzania.
 
hatutakubali kumpa kura raia wa nchi jirani kuongoza tanganyika yetu kamwe.
 
Hamna nchi rahisi kutawala kama Tanzania. Nina uhakika mtu yoyote mwenye akili timamu anaweza kutawala Tanzania.

Ni kweli hata wavuta unga pia wanaweza.Lakini tunachohitaji ni rais mwenye maono na atakaye kuwa mzalendo na anayemuogopa Mungu.Swali huyu ataweza?Alishindwa kwaambia wakati wa Katiba kwamba wanakosea akiwa raisbataweza?Je hatakuwa anaendeshwa kwa remote na rais anayemaliza muda wake?Hata endeshwa na mafisadi?Ni maswali tu ya kuzingatia.
 
Manina....labda unacheza na moto ww... wananchi hawamjui, hawamtaki hauziki...CCM haifanyi upuuzi huo..

CCM itachagua mgombea anayeuzika ndani na nje ya CCM ili kushinda Urais...!!!!
 
Naona dhambi aliyosema marehemu JKN,imeanza,kesho utasikia achana na wachaga,achana na wanyakyusa, achana na wapemba,achana na wahaya,achana na wakurya... eeh rais anatakiwa awe atakae tufanikishia MAHITAJI yetu WATANZANIA,na si kwamba katoka wapi.HITIMISHO nchi si ya kidini! nyie mnaoleta mgawanyiko wa kidini,mungu awalambe na moto!
 
hatutakubali kumpa kura raia wa nchi jirani kuongoza tanganyika yetu kamwe.

Sijui unataka nani kati ya hao wengine apitishwe lakini hao wagombea wote walikubaliana na ile rasimu ya katiba iliyopitishwa, hivyo walishakubaliana na kila kitu. Sana sana unaweza kuonyesha hasira zako kwa kumpa kura mtu wa UKAWA.
 
rais wa tanzania mzanzibar
rais wa zanzibar mzanzibar

kweli!! ebu lione hili ccm

Mzanzibar..kwa nyakati hizi hawezi kuwa rais wa JMT..kwa maneno mengine JMT ni Tanganyika! Wazenji na nchi yao..sijaona m tanganyika kwenda kugombea urais zenji..CUF wakishinda zenji na muungano ukivunjika itakuwaje tutarudia uchaguzi au tutawaliwe na mamluki? Acheni hizo wakuu!..JMT ni kwa wabara tu..tusidanganyane!
 
Rais wa wazanzibar huyoo nakwambia ccm salama yenu ni lowassa tuu vinginevyo ccm itakua chama pinzani
 
Manina....labda unacheza na moto ww... wananchi hawamjui, hawamtaki hauziki...CCM haifanyi upuuzi huo..

CCM itachagua mgombea anayeuzika ndani na nje ya CCM ili kushinda Urais...!!!!

Hata kama hauziki CCM itashinda tu kwa sababu inamiliki dola pamoja na tume ya uchaguzi.

Hivi mnadhani kwa mfano hao wakulu wa tume ya uchaguzi ni UKAWA?

Hao wote ni CCM kama alivyokuwa yule sijui ndo Makame....
 
Manina....labda unacheza na moto ww... wananchi hawamjui, hawamtaki hauziki...CCM haifanyi upuuzi huo..

CCM itachagua mgombea anayeuzika ndani na nje ya CCM ili kushinda Urais...!!!!

hatutakubali mzanzibar kuongoza tanganyika kamwe.wazanzibar wana rais wao anafahamiki. tanganyika ni kwa ajili ya watanganyika.
 
Huyu alivyokuwa Jaji Mkuu, RUSHWA ILITAMALAKI SANA KTK MAHAKAMA ZOTE...!!!

Rushwa ndio ilikuwa kama haki ktk mahakama karibu zote wakati huyu alikuwa Jaji Mkuu.... hafai...!!! na hatuchaguliwi viongozi... tunajua tunamtaka nani... huyu kaletwa tu kama kondoo fulani hivi...!!!

Lowassa ndio kila kitu...full stop...!!!
 
Sijui unataka nani kati ya hao wengine apitishwe lakini hao wagombea wote walikubaliana na ile rasimu ya katiba iliyopitishwa, hivyo walishakubaliana na kila kitu. Sana sana unaweza kuonyesha hasira zako kwa kumpa kura mtu wa UKAWA.

mkuu yeyote mtanganyika lakini ccm wakimleta huyu hata ukawa tutampa.
 
kweli je watu vijijini wanamfaamu ambako ndo wapinga kura waliko,mimi nawashauri wafanye kama kwa kikwete,
1,magufuli-rais
2,ramadhani-makamu

hii timu itashinda kwa kishindo na inakubalika na itasaidia wabunge wa ccm,ia tutapata baraza la mawazri bora.

Naunga mkono hoja. Magufuli akiwa rais tuna uhakika wa mafisadi kutopata nafasi. Reli na ndege vitafufuka.
 
Mzanzibar..kwa nyakati hizi hawezi kuwa rais wa JMT..kwa maneno mengine JMT ni Tanganyika! Wazenji na nchi yao..sijaona m tanganyika kwenda kugombea urais zenji..CUF wakishinda zenji na muungano ukivunjika itakuwaje tutarudia uchaguzi au tutawaliwe na mamluki? Acheni hizo wakuu!..JMT ni kwa wabara tu..tusidanganyane!

tanganyika ni kwa ajili ya watanganyika.
 
kwa hiyo yule wa marekani tuloambiwa dediiiii ataletwa akiwa hai TZZZZZZZZZZZZZZ
 
Ni kweli hata wavuta unga pia wanaweza.Lakini tunachohitaji ni rais mwenye maono na atakaye kuwa mzalendo na anayemuogopa Mungu.Swali huyu ataweza?Alishindwa kwaambia wakati wa Katiba kwamba wanakosea akiwa raisbataweza?Je hatakuwa anaendeshwa kwa remote na rais anayemaliza muda wake?Hata endeshwa na mafisadi?Ni maswali tu ya kuzingatia.

Tetty
Kikwete hawezi kuweka mtu atakayetishia maslahi yake na ya CCM. Halafu kuna kitu kingine labda watu wengine hawajui. Jaji Ramadhani ni chanda na pete na Mkapa. Ni marafiki kweli kweli. Lakini mimi bila kuangalia KAMA ataweza au hapana nimefurahishwa na kitu kimoja ambacho Kikwete anakaribia kukifanya: Tanzania fomula ilishakuwa UKITAKA URAIS (hata kama huna sifa).. basi 1. Andaa fedha nyingi 2. tengeneza mtandao kwa kununua watu kadiri uwezavyo 3. Tengeneza mazingira ya kuonyesha unakubalika kwa kununua wapambe, media, kura za maoni, vyama na vikundi mbalimbali huku ''ukiwachafua'' wapinzani wako kwa kila namna na mwisho nunua wajumbe karibu wote wa NEC na mkutano mkuu. Sasa hapa Kikwete anakwenda kuonyesha kuwa hii fomula ni fake na japokuwa yeye aliweza kuitumia lakini ilikuwa bahati tu hivyo WATU WENGINE WASIJARIBU! Ahaa... shikamoo mheshimiwa Kikwete! Mwaka huu ni wachumia tumbo wengi wamewekeza kwenye DECI ya kisiasa! Ni kuvuna mabua kwa kwenda mbele!
 
Hata kama hauziki CCM itashinda tu kwa sababu inamiliki dola pamoja na tume ya uchaguzi.

Hivi mnadhani kwa mfano hao wakulu wa tume ya uchaguzi ni UKAWA?

Hao wote ni CCM kama alivyokuwa yule sijui ndo Makame....

Nyani Ngabu....

Don't even worry huyu haendi kokote, kaletwa kama kondoo fulani hivi...!!! hafai hata kidogo, beyond bogus huyu...!!!

Na CCM inajua, wananchi wamebadilika sana sasa hivi... wakimuacha Lowassa CCM inakufa mchana, na UKAWA wanachukua nchi haraka sana...!!! na Lowassa yuko radhi kwenda Upinzani, hilo liko wazi, bila shaka umesikia maneno yake mara kadhaa akitafuta wadhamini...akim quote Mwl. Nyerere kuwa WANANCHI wakikosa mabadiliko ndani ya CCM watayapata nje ya CCM..na yeye ndie ataleta mabadiliko hayo either ndani au nje ya CCM na si mwingine kwa Sasa... hakuficha kitu...Lowassa yuko very straight...!!! na HE WALKS THE TALK...!!! He is the Man of Action... hana mchezo, sio mswahili, mswahili...!!! Ni chaguo bora sana kwa sasa...kila tafiti, kura ya maoni, makundi yote ya wananchi wanampenda mnooo, umeona hata wadhamini wengi sanaaaa... ana karma ya kupendwa...

Kuhusu ufisadi ni propaganda tu...ukienda PCCB, DPP, MAHAKAMANI, POLICE, kamati ya maadili ya CCM and tume ya maadili ya viongozi wa umma...kote huko hajawahi hata kushutumiwa tu achia mbali kushitakiwa...hakuna jina lake... so ni propaganda za kisiasa without evidences.... so hazina ukweli, hata yeye Lowassa kasema mwenye ushahidi hata mmoja tu ktk maisha yake aliwahi kuiba alete...hakuna aliyeleta...!! Sbb anajua ni uongo na uzushi wa wabaya wake...!!!

Kuhusu huyu Jaji Mkuu mstaafu hafai, kabebwa, hajulikani na wananchi wapiga kura... pili alivyokuwa Jaji Mkuu, Rushwa ilikuwa balaaa ktk mahakama za Tz...hafai kabisa huyu...!!! hoi bin taaban...!!!"

Lowassa ndie CHAGUO SAHIHI kwa sasa... na wana CCM wengi, wana imani na CCM kwa sasa sbb ya Lowassa tu...!!!
 
Back
Top Bottom