Augustine Okrah kauzwa USD 150,000, usisikilize wasioelewa

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Sasa mtu analazimisha kabisa kwa confidence zote kwamba jamaa yuko kwa mkopo simba anabishana na hadi na club husika ya huko Ghana na media za Ghana, agh aiseee

======

winger,_Augustine_Okrah.jpeg

Tanzanian giants Simba SC have reached agreement with Bechem United for the transfer of winger Augustine Okrah.

Sportsworldghana.com understands that both teams came to a consensus on Wednesday morning with a transfer fee of $150,000 on the table.

The player has also agreed to joined the Lions and they are just waiting for the transfer window to open officially on July 1 so that he can have his medicals at Dar Es Salam.

He is being signed to replace fellow Ghanaian Bernard Morrison whose contract was not renewed by the club.

Okrah netted thirteen goals as Bechem finished second in the just ended Ghana Premier League season.

Source: sportsworldghana.com
 
Nisikilizeni mimi nyinyi.

Mimi ndio nashinda na viongozi wenu huko mitaani.

OKRAH ajamaliza mkataba wake na Bechem United ya Nigeria.

Huyo yuko Kwa MKOPO na atakuwa huru kuwa mchezaji rasmi wa simba mpaka mkataba wake uishe.

Eng Hersi anamfuatilia kwa karibu huyo mchezaji kabla haya tuma offer rasmi hapo dirisha dogo kwenda Bechem United.
 
Ikumbukwe kuwa huyu dogo OKRAH aliwahi cheza timu hasimu za sudan kwa nyakati tofauti.

Hivyo haoni noma kuswitch upande wa pili kama akiwekewa dau zuri.
 
Kusajiliwa na YANGA SC dirisha dogo itategemeana na kiwango chake kama kitampendeza Kocha NABI.
 
Nisikilizeni mimi nyinyi.

Mimi ndio nashinda na viongozi wenu huko mitaani.

OKRAH ajamaliza mkataba wake na Bechem United ya Nigeria.

Huyo yuko Kwa MKOPO na atakuwa huru kuwa mchezaji rasmi wa simba mpaka mkataba wake uishe.

Eng Hersi anamfuatilia kwa karibu huyo mchezaji kabla haya tuma offer rasmi hapo dirisha dogo kwenda Bechem United.
nakuaminia jombaa hata iile hoja yako ya juzi ya kura za CAF kwamba goli bora 70 percent za fans votes ha zi count ilikuwa sahihi kina Motsepe na viongozi wengine wa CAF huwa unapiga nao sana ma story
 
Nisikilizeni mimi nyinyi.

Mimi ndio nashinda na viongozi wenu huko mitaani.

OKRAH ajamaliza mkataba wake na Bechem United ya Nigeria.

Huyo yuko Kwa MKOPO na atakuwa huru kuwa mchezaji rasmi wa simba mpaka mkataba wake uishe.

Eng Hersi anamfuatilia kwa karibu huyo mchezaji kabla haya tuma offer rasmi hapo dirisha dogo kwenda Bechem United.
Viongozi wa group za watsup labda
 
wee umeshachanganyikiwa wallah.
 
Juma Lokole unashinda na viongozi wa Simba wapi na wanakufanya nini Juma Lokole?
 
Wewe uko karibu na viongozi wa Simba Kwa shuguri Gani si umeshahamia utopolo, hivi mchezaji anayejielewa atoke timu inayotaka kushiriki Africa super league aende Kwa katimu kasikojulikana afrika be serious.

Back
Top Bottom