August Alsina

hiyo nyimbo ya Hold you down iliondolewa youtube... Wameacha ile ambayo haina speeches... Wapuuzi sana...
 
Halafu video ya wimbo wa DJ Khaleed wa hild you down uliondolewa youtube
 
Namkubali pia Alsina especially akiwa na Brown huwa anamficha kabisa jamaa. August ni wa kipekee
#Bénédiction #
 
Kama hujaskia track yake moja inaitwa righ there basi bado hujamskia alsina kabisa moja ya rnb ambaye nyimbo zake nyingi anasungumzia hustle na kuna nyingine kama go get ya money
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…