Xavi Hernandez Alcantara
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 278
- 286
August Alsina sijajua saivi yupo wapi huyu jamaa Anajua RnB si mchezo.
Nliwahi kumskia kwenye Ngoma nyiki kalii mno Na Sauti yake ni yakipee. Labda azidiwe kidogo na The Weeknd yule Mkanada.
Alifunika kwenye No Love ft Nick Minaj,kuna Benediction ft Rick Rose,Song Cry,I Luv This Shit,Dont Forget About Me,You Deserve,Hip Hop,Mama Nk.
Zote Achana nazo kuna kete moja inaitwa Kiss on my tattoos hii ndio my best song ever kutoka kwa huyu kiumbe.
Huyu August Alsina Alimsumbua sana Chris Brown kwenye zile Collabo mbili za Dj Khalid.
Dj Khalid ft Chris Brown,Nick Minaj,Jeremih,Rick Rose,Future__Do you mind.
Dj Khalid ft Chris Brown,August Alsina,Jeremih,Future__Hold You Down.
Jamaa Aliumiza sana kwa sauti yake ya kupanda na kushuka ni moja ya Chorus Killer hatari Saana..
Namkubali huyu jamaa. Wangapi tunamfahamu huyu Alsina. na uliwahi kumsikia kwenye ngoma gani ukamkubali
Moja ya Nyimbo zake (Benediction)